We mzaramo acha uswahili..!!muache aje akifika mlete kwangu
Mwache aje wewe ulale sebuleniMama mkwe anataka Kuja kwangu kwa ajili ya likizo ya uzazi , najisikia Vibaya maana Nimepanga nyumba vyumba 2 tu..nitawezaje kumtosa kistaarabu isilete hisia mbaya. Ushauri wenu tafadhali.