Mama mkwe vs mwali wake (mke mtu) wapeana makavu laivuuuu! Mwanaume abaki kinywa waziiii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama mkwe vs mwali wake (mke mtu) wapeana makavu laivuuuu! Mwanaume abaki kinywa waziiii

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lara 1, Oct 5, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  How do you do peoplessssssssssss!!!!! AMANI IWE KWENU!

  Mi niko poa, naendela kubinya binya keyboard za watu na kuzidi kuwatajirisha huku mie nikizidI kutoka sugu za vidole!!!! Ila AMANI IWE KWAO, sababu hata maandiko yanasema MWENYE NACHO ATAONGEZEWA, NA ASIE NACHO ATANYANGANYWA HATA HICHO KIDOGO ALICHONACHO!

  Leo bwana naweletea MPAMBANO LIVE MAMAMKWE a.k.a BIG MAMA VS MWALI a.k. WIFE ORIGINAL a.k.a MAZA HOUSE
  uliojiri mbele ya Husband ooooooooh! Na kumuacha ametoa mijicho kama mjusi alebanwa na mlango! LOL! Tupate HABARI KAMILI!

  Mama: Mwanangu lazima aniheshimu zaidi mie mzazi wake, ndo nnaejua uchungu wa kuzaa, nimembeba MIEZI 9 TUMBONI, itakuwa wewe wa kuja jana????
  Mke: Usinichoshee kabisa wewe kikongwe, MIEZI 9 unaona BREAKING NEWS?!!! Kwanza ulivombeba aliku na 3kg tuu, afu miezi 9 tuu, Mie NAMBEBA KILA SIKU!!! KUTWA MARA 3, AFU ANA 87KGS, Nani aongee uchungu wa kubeba!!!???

  Mama: Usijifnye hujui alipita katikati ya miguu yangu!!! Ohoooo!
  Wife: Msheeeeew! We kupiata mara 1 tu imekuwa NOGWA, je mie ANAEPITA KILA SIKU!!!! Nisemeje?

  Mama(Keshapanic hapo): Ndo nakwambiaje wewe binti, Kama HAKUNYONYA HILI ZIWA MIEZI 6, na asiniheshimu sasa!!
  Wife: Hahahaaaaa! Mama bwana, naona umeishiwa nyimbo, KUNYONYA HAPO MIEZI SITA ISHAKUWA BIG DEAL?!! Je mie mtoto wa mwenzie ANAENINYONYA DAILY FOR 5 YRS OF MARRIAGE TILL INFINITY nisemeje nakuuliza wewe bibi?

  Mume/Mtoto: (Msitake kujua maamuzi magumu aliyofanya mwenzenu atiiii!)

  Hitimisho!!!!
  NAMPA BI DADA OFA YA KRETI MBILI ZA BIA YA SENETOR BARIDIIIII! KUMFUTA JASHO KWA KAZI ANAYOIFANYA DAILY KUTETEA USENETOR WAKE HUMO NYUMBANI!!!!!
   
 2. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ha haaaa LARA 1 ni ya kweli hiii ? uwiiiii choka kabisa sipati picha jibaba alikuwa anafanya nini wakati majibizano yanaendelea
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  hapo mwanaume angefanya nini?
   
 4. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  aahhahahahhhah mama vs mkamwana!
   
 5. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Chapa wote vibao, hawana adabu hao
   
 6. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hii nadhani ilifaa jukwaa la jokes..lol
  By the way lara 1 wewe unamsupport nani katika hawa wawili?
  Nani yuko right?..........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. p

  pretty n JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  A joke!
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  pacha mimi amkia wewe!:photo:
   
 9. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Marhaaaba pacha wangu...
  Umenisusaje?... hata wekeend hujaniambia wapi?
  Au huyo jamaa kasahau kama na wewe una kwenu?
   
 10. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa mimi ningemwambia mama cool down asishidane na kichaa, afu siku ya pili unamuambia mama yako yule kichaa nimeisha mrudisha kwao:biggrin:
   
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  si ndo hapo pacha yani kisa ulishakula mahari ndo hata kurudi home nako niombe ruhusa!kha kisa?au ndo darasa limekolea?
   
 12. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,216
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ingekuwa mimi angemaliza kujibizana na mama na kukuta nimemuwekea vitu vyake ndani ya gari tayali kwaajili ya safari kurudi kwao
   
 13. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Jitahidi bana wekeend ndefu ati!..nitaonaje raha ya kuwa na pacha sasa?
  Ukichukulia nimekuachia chuchuchu...ukishindwa samaki samaki basi hata pale kwa manji..lolz
   
 14. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  umeona enh!au pale knight support kinondoni kwenye firigisi mixer na ugali!itabidi hili lizingatiwe kwa kweli!
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hii ni ya jukwaa la Jokes...
   
 16. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kumbe ni kweli ukibashana na chizi unaonekana kuwa wewe ni chizi zaidi yake. sasa kuzodoana kiasi hichi kumewasaidia nini?
  -ungeweka forum ya jokes-
   
 17. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Utakuwa ushakuwa mchawi wewe mtoto..u know what?
  Ndio menu niliyokula mchana huu..lol
  Anyway i will do it again for you!
  Wapi Kaizer ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hiyo nguvu ya kujibizana na mkwe anatoa wapi?mwisho wa siku ni kuonekana wote mapoyoyo.
   
 19. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Mimi nampongeza aliefanya kazi nzito mka mwana ofcourse
   
 20. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Angetangulia baa akapate kiroba cha nyagi na tusker baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
   
Loading...