Mama mkwe kuanika chupi zake hadharani, imekaaje hiyo?

Mi nadhani ukiwa bize unatoka asubuh na kurudi jioni sidhani hata hizi chupi utakuwa unaziona, utakuwa unakuta ameishazianua😂😂
 
Back
Top Bottom