Mama mkwe kuanika chupi zake hadharani, imekaaje hiyo?

Wewe umesoma wapi? Tumefundishwa kwenye sayansi kimu nguo ya ndani inikwe juani ipigwe na jua. Ukianika ndani inapata ukungu na mafungus.
Unakuta mtu anaanika chupi chini ya kitanda au inaanikwa kwa kifichoficho ukiitoa huko inanuka uvundo. Halafu hata ndani kwenyewe panakuwa pachafu imagine machupi yamening'inizwa. Aka mi staki. Labda useme nianike nje nifunike na kanga but kiukweli sitafanya hivyo , sio utaratibu wangu. Nitaanika juani kwenye kamba pamoja na nguo nyingine.
Umesoma sayansi kimu a.k.a domestic science utakuwa muhenga tu.

Huyo mdau ni wa somo la maarifa ya jamii na stadi za kazi, yaani social skills and personal development studies (PDS) kama kasoma 'ingleshi mediamu skuluzi'

Hao wanafundishwa Hop Scotch game, road crossing, kutumika Brenda, washing machine, wewe ulifundishwa kufua, kunyosha nguo, kuweka wanga kwenye nguo, kuweka blue, kupika na kulima na kutwanga na kinu.

Hawajui hata kunyosha nguo, au unakunja vipi nguo. Unaloweka nguo nyeupe kwanza siyo pamoja na huo za rangirangi.

Wewe umejifunza kunyosha nguo ili kuuwa chawa, kunguni na vijidudu kama bakteria au kuondoa mikunjo, yeye kajifunza nguo kma denim usinyooshe itapauka, mikunjo kwenye linen, vintage na denim ndiyo fashion.

Hatamaelewana hapo.
Cha kushangaza wakienda beach wanakuwa na vyupi tu na hakuna shida kama kuanika chupi hiyo hiyo juani...😃
 
Wewe umesoma wapi? Tumefundishwa kwenye sayansi kimu nguo ya ndani inikwe juani ipigwe na jua. Ukianika ndani inapata ukungu na mafungus.
Unakuta mtu anaanika chupi chini ya kitanda au inaanikwa kwa kifichoficho ukiitoa huko inanuka uvundo. Halafu hata ndani kwenyewe panakuwa pachafu imagine machupi yamening'inizwa. Aka mi staki. Labda useme nianike nje nifunike na kanga but kiukweli sitafanya hivyo , sio utaratibu wangu. Nitaanika juani kwenye kamba pamoja na nguo nyingine.
Hiyo sayansi kimu yenu ni ya kipuuzi
 
Umesoma sayansi kimu a.k.a domestic science utakuwa muhenga tu.

Huyo mdau ni wa somo la maarifa ya jamii na stadi za kazi, yaani social skills and personal development studies (PDS) kama kasoma 'ingleshi mediamu skuluzi'

Hao wanafundishwa Hop Scotch game, road crossing, kutumika Brenda, washing machine, wewe ulifundishwa kufua, kunyosha nguo, kuweka wanga kwenye nguo, kuweka blue, kupika na kulima na kutwanga na kinu.

Hawajui hata kunyosha nguo, au unakunja vipi nguo. Unaloweka nguo nyeupe kwanza siyo pamoja na huo za rangirangi.

Wewe umejifunza kunyosha nguo ili kuuwa chawa, kunguni na vijidudu kama bakteria au kuondoa mikunjo, yeye kajifunza nguo kma denim usinyooshe itapauka, mikunjo kwenye linen, vintage na denim ndiyo fashion.

Hatamaelewana hapo.
Cha kushangaza wakienda beach wanakuwa na vyupi tu na hakuna shida kama kuanika chupi huyo huyo juani...
Ha haaaa umenena vyema.. standard one 1987. Shati jeupe unafua vizuri unaweka blue basi unang'aa hasa. Hee kumbe siku hizi wanafundishwa kufua na washing machine , kazi ipo.
 
Hiyo sayansi kimu yenu ni ya kipuuzi
Kwa upande wako wewe. Ustaarabu mwingine unashangaza., Nowadays mnatembea mmevaa vichupi barabarani wanawake kwa wanaume lkn mnaona sawa. Ila ikianikwa kwenye kamba ndo mnaona tabia mbaya.
 
Huenda ameshuhudia au saizi ni kubwa kuliko za mkewe😂😂😂😂 amekuta zile XXL kwenye kamba😂, hapa najiuliza sijui jamaa huwa anashinda nyumban🤔🤔
jamaa atakua hanywi bia so anashinda home tu lazima ashuhudie vimbwanga vya wanawake
 
Habari wapendwa

Nimepata ugeni wa mama mkwe wangu, sasa cha ajabu namuona kila akitoka kuoga anaanika chupi zake hadharani tu.

Hii imekaaje wakuu?
Andika tangazo "MARUFUKU KUANIKA CHUPI HADHARANI" alafu uchune uone kama ataanika tena.
 
Kwa hivyo kaniongopea?
Basi hafai huyu muhenga, nisadie kidogo majibu sahihi.
Hahaha mkuu mimi sina majibu sahihi ila nimehisi tu anagufunga kamba. Kwa maoni yangu huo mwaka aliosema std 1 inawezekana ndio alikuwa anazaliwa
 
Back
Top Bottom