Mama mkwe kuanika chupi zake hadharani, imekaaje hiyo?

Na wewe kuanika hadharani siri za mama mkweo imekaaje???. Kwani hali hiyo mkeo anaionaje??

Si umwambie mwanaye (mkeo) amtonye mama yake kinamna.
 
Duuh siamini aisee kama tunajadili chupi tena ya mama mkwe.

Halafu sijui ni kwa namna gani hii ikawa mada ya jukwaa la mapenzi.
 
Swala dogo sana ilo wala halina tafsiri kama uliyokuwa unaitaka kuipata kupitia comment. Suala la chupi ya mama mkwe kuona au kuziona kiutamaduni wa kiafrika sio jambo jema, ila kizungu na wazungu wenzangu wengine ni hali ya usafi, hongera kwa hilo mama mkwe msafi
 
Huelewi nini. Mamkwe huyo ni maharage ya Mbeya. Maji mara moja. Rusha ndoano uone. Ni Kama wanawake wa ccm kwenye kampeni zilizopita. Ukimgusa tu, umeenda naye!
 
Back
Top Bottom