Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

Habari zenu wapendwa?

Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba.

Baada ya hapo wakualiana na wazazi harusi iwe mwezi wa 4 mwaka huu Ila baada ya muda mama yake akamwambia naomba harusi mfanye mwezi wa 7 nataka nijipange sherehe iwe kubwa tukamkubalia kupeleka hadi wa 7 Ila Cha kushangaza juzi kipindi wamekaa kwenye kikao Cha kuandaa kamati ya harusi mama mtu akasema harusi isogezwe tena iwe mwezi wa 10

Baada ya mwanae kumbana mama yake kuwa kwanini kila cku unapeleka mbele akamwambia sitaki uowe mwanamke wa kichaga ndomana nafanya hivi, kiukweli mwanae alichukia sana kuskia hiyo kauli akanipa mrejesho kuwa mama yake hataki anioe kisa mimi mchaga Ila kwakuwa nakupenda tumeshirikiana mambo mengi siwezi kukuacha tutafunga ndoa mwezi wa 8 bila hata ndugu zake kuwepo atasimamia shoo mwenyewe bila msaada wa ndugu zake nikamwitikia sawa

Ila hapa nawaza usikute huu uamuzi ameuchukua sababu ya hasira nahisi Kama akitulia atanibadilikia asikilize ndugu zake aniache na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimetoka naye mbali kanipotezea muda na hivi kapeleka hadi mahari kwetu watu wanasubiri harusi.

Kama akinibadilikia sijui hii aibu tutaibebaje na familia yangu, nimechanganyikiwa mpaka nawaza sijui nimbebe tu mimba ili azidi kuwa na msimamo aogope kupoteza mke na mtoto!,

Ila nakosa jibu huyu mama simuelewi kwanini ananifanyia hivi Kama alikuwa hataki niolewe na mwanae kwanini hakumzuia kipindi anapeleka mahari wakamsapoti apeleke, kinachoniumiza ni aibu kwetu mahari imeenda alafu ikitokea tukiachana kisa mama yake aibu itakuwa kubwa Bora hata angekuwa hajapeleka mahari.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje kulishinda hili jaribu lililopo mbele yangu, Ndugu zangu Bado sijawambia Kama Kuna huu mgogoro maana hata sijui watalipokeaje nachanganyikiwa Mimi jamani
Dada.... Mm pia ni mchaga wa marang, nimeptia situation inayofanana kias flan na yako.... Ntaeleza kwa ufup sanaaa..... Kwa upande wng niliwahi kuwa kwnye relationship flan na mtoto wa kisambaa aliyekulia moshi kias kwamba unawezasema ni mchaga hapo nipo mwaka wa kwanza chuo na kwa kuwa huwa nina experience ya kukaa kwenye mahusiano muda mrefu, nilijiwekea probability kuwa kama ataendana na vision yang bas ntamuoa, hvyo nilimshrikisha mama kuwa nina mahusiano ambayo nataman yafkie tamat ya ndoa.... Mama alipohoj nliyenae ni wawap... Nikamwambia ni msambaa bas.... Akisisitiza kuwa nisioe tofaut na mtu wa nyumban {mchagga}..... Sikutaka kuchukua maamiz ya haraka haraka kumwacha yule binti mana tulipenda xanaa.... Japo kuna baadhi ya mapungufu niliyabain kwake yalio kando kdgo na vision yang juu ya mwanamke ntakaye muoa... Ghafla mahusiano yalidhoofu hatamaye nikaingia kwenye mahusiano mengine na mchaga (frm machame).... Nikawa naye kwnye mahusiano kwa miaka mi 3had namaliza chuo.... Kipnd chote hcho aliprove kuwa ndio mwanamke ninayemuhitaj ktk maisha yang kama mke (wife produt not only material) nilimjilisha mama tena kwa mara nyngine tena kwa kuwa ndiye aliyetulea kwa % sanaa... Kwamba ninaye mchumba mchaga ss lakin alipojua ni wa machame bas alinikata maain kabxa baada ya kusema hanifai kabsaaa... Nilihisi kupoteza dira mana niliona kama ananiyumbisha tu nilichoamua ni kuingia ktk moyo wng na dhamir yang na kuamua kuwa nimeshajithbishia kuwa ananifaa kwa 90% bas sikurud nyuma kwa kuwa nilijua kuwa hata nikimuoa yule mama atakaye mkubal bila nafsi au moyo wng kumkubal bas ntaishia kumlaumu mama hata akiwa kaburin..... Bal ntakaye mridhia mm bas ntakuwa tayar kwa yote yatakayonipata.... Bas hapo ndio nilposonga mbele kuelekea ndoa japo kwa ugum sana mana hata dada zng na baadh ya ndugu walikuwa kinyume kabxa na mm juu ya hlo suala lakin nilikomaa na mungu pia nilimshirikisha pa1 na mke wng hyo Mtarajiwa (wakat huo 2018)...alinipa ushrikiano zaid ya 100% tenaa baada ya kujua kuwa mama hakumridhia kisa ni mmachame..... Tuliptia mengi sanaaa sanaaa sanaA ya kuumiza tukapgwa vta sanaaa....lakin hata haikuweka ufa ktk nia ya mahusiano yetu..... Yan kila hata ilikuwa mbinde mbinde tu hadi tunafunga ndoa.... Harusi nilisimama ktk nafas zote za kamat...... Maajab ya mungu harusi ilienda poaa sanaaa japo % kubwa my family members hawakuhudhuria nikiwatoa wazaz na dada yetu mkubwa ambao mwshowe walinielewa...... Ndio nilifunga na binti niliyetoka nae mbal kiamisha..... Japo dada zng na baadhi ya ndugu walinitabiria maisha ya shida shida ktk ndoa ukizingatia ckuwa na kaz maalum, kwamba hata miez sita hatutamaliza (nilikuwa muhangaikaj tu)....
Finally ndoa tulifunga, mungu akatujalia mtoto handsome sana wa kiume.... Maisha bora, tumejenga, na neema nyingzo nying.......

Note..... Nimefupsha mnoooo...

Point yang ya msingi BINTI..... Maamuzi ya kuwa ndoa ni nying wawil.... Hasa zaid kwa upande wa mwanaume (mchumba wako.) kama kwel anakupenda na ameshakuchagua ww bas inampasa kuwa na msimamo bila kuyumbishwa na yyote.... Mzaz abaka kama mshaur tu...... Na si kumuamulia kijana wake ili kuepusha lawama juu yake.... Pia aheshimu mahusiano yenu.... Lakin pia atambue mungu hakutubagua hvyo kukukataa au kukuona ww hufai wakat mwanae kakupenda ww ni dhambi kubwa.......

Niishie hapo kwa ufup sanaaaa lakin kwasabab sipend kutyp muda mrefu.... Kuna mengi sanaa sijaandka......
 
Mkuu, ni kitu gani kinachokupa shida zaidi kati ya kumpoteza mchumba wako au kuwafedhehesha wazazi?
 
Mama mkwe Yuko sahihi unaoaje mchaga anaum a nn hiyo kijana akuache Mara moja kabla cag hajamkagua
 
Mimi nitakupinga kidogo mkuu. Unajua sio ndugu wote wana nia nzuri kwa mwenza wako.

What if mwenzako anatokea zile familia za ndugu lawama wanaotaka kuwa sehemu ya maisha yenu na kutwaachia uhuru wa kufanya yenu?!

Mimi kwa upande wangu naamini jambo la msingi ni ninyi wahusika wawili kusimama imara pamoja bila kujali ndugu wa pande zote wanataka nini. After all, ninyi ndio mtaoishi nyumba moja, ndugu wanawasindikiza tu hadi siku ya harusi, maisha ya ndoa yakianza ndugu watajishughulisha na ninyi endapo mtakuwa na uwezo kifedha, ila kama mtakuwa makapuku hakuna ndugu atakaekuwa na time na ninyi hata kidogo.

So kwanza, ni ninyi wawili mnavyoimarika pamoja na kuwa wapenzi wa dhati halafu mengine yanafuata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mkiwa kama wanandoa hampaswi kuruhusu ndugu wawapangie aina ya Maisha mnayotaka kuishi,mnaweza tu kupokea ushauri ikiwa watatoa pale inapobidi na kuamua ikiwa mtaufanyia kazi au lah,lakini kabla ya ndoa unaweza ukapewa ushauri kuhusu yule unayetaka kumuoa au kuolewa naye

ishu kubwa ni kucut ties na ndugu zako kwa sababu ya ndoa,hii haijakaa sawa sana kiongozi,kwa sababu hata kama ndoa ni ya watu wawili na wao ndio watakaoishi kwenye nyumba moja lakini kuna wakati tu utafika ambapo mtawahitaji watu Zaidi ya ninyi wanandoa wawili,na ndio maana ni muhimu mwanaume kuwa na mrafaiki zake wa kiume na kutumia muda pamoja nao nyakati nyingine na mwanamke pia hivyo hivyo,hamuwezi sikuzote mkaishi ninyi kama ninyi

na tukumbuke ndoa sio kwa ajili ya kumtenganisha mume au mke na ndugu au jamii ambayo amekua nayo,badala yake ni kuziunganika koo mbili au jamii mbili zinazowahusu kuwa kitu kimoja ikiwezekana na kupatana kwa kadri ambayo inatakia na kuwezekana,kwani hakuna namna mtaavoi kabisa kukutana au muingiliano wa aina yoyote na pande hizo mbili

So mkuu my take is,kama ni ndugu lawama kuna namna ya kutumia hekima ya namna ya kushughulika nao

lakini kama ni ushauri unapewa na watu wazima kuhusu mahali unapoenda kuoa au kuolewa ni vyema ukajaribu kukaa chini na kujaribu kuona ni kwa nini umepewa ushauri wa namna hiyo,ikiwezekana hata kushirikisha hata watu wengine Zaidi yako wenye hekima na wanaojielewa wakusaidie kufanya upembuzi yakinifu kabla hujaamua kujifunga na mtu huyo(kwa sababu tulio wengi tunapokuwa in love tunakosa rational judgement) kwa hiyo ukijitafakaria wewe kama wewe unaweza usione kabisa shida ya huyo wife or husband to be,na uwe tayari kupokea ukweli na kuufanyia kazi,maanake tulio wengi tukiwa in love hata watu mia wakikuambia banah labda huyo Y ni mchawi huwa hatukubaliani kirahisi lazima tutakataa tu au kujipa moyo kuwa nikifunga naye ndoa nitambadilisha (something wich is almost impossible) yale yale ya loving eyes ……...

naongea hili kwa sababu ya baadhi ya mambo niliyojionea,mara nyingi watu wanaokataliwa kuoa au kuolewa mahali Fulani na wazazi ambao hawana ndugu lawama ila kwa nia nzuri tu na kutokana na kuona kwao mengi,ndoa zao huwa hazina mwisho mzuri na wengi wao huishia tu kujuta kwa sana na kurudi kwa machozi baada ya kugundua walichokuwa wanakifikiria watakipata kwenye ndoa sicho

Kiongozi ishu ya kupata mwenzi sahihi wa kutumia Maisha yako yote yaliyobakia hapa duniani ni sensitive sana,inaweza kukupa furaha sana au kukupa huzuni kubwa sana ambayo hujawai kukutana nayo hapa duniani

Tuombe Mungu tu jamani.

samahani kwa maelezo yangu mareeeefuuuuuu natumai utakuwa umeupata vyema ujumbe wangu mkuu
 
Habari zenu wapendwa?

Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba.

Baada ya hapo wakualiana na wazazi harusi iwe mwezi wa 4 mwaka huu Ila baada ya muda mama yake akamwambia naomba harusi mfanye mwezi wa 7 nataka nijipange sherehe iwe kubwa tukamkubalia kupeleka hadi wa 7 Ila Cha kushangaza juzi kipindi wamekaa kwenye kikao Cha kuandaa kamati ya harusi mama mtu akasema harusi isogezwe tena iwe mwezi wa 10

Baada ya mwanae kumbana mama yake kuwa kwanini kila cku unapeleka mbele akamwambia sitaki uowe mwanamke wa kichaga ndomana nafanya hivi, kiukweli mwanae alichukia sana kuskia hiyo kauli akanipa mrejesho kuwa mama yake hataki anioe kisa mimi mchaga Ila kwakuwa nakupenda tumeshirikiana mambo mengi siwezi kukuacha tutafunga ndoa mwezi wa 8 bila hata ndugu zake kuwepo atasimamia shoo mwenyewe bila msaada wa ndugu zake nikamwitikia sawa

Ila hapa nawaza usikute huu uamuzi ameuchukua sababu ya hasira nahisi Kama akitulia atanibadilikia asikilize ndugu zake aniache na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimetoka naye mbali kanipotezea muda na hivi kapeleka hadi mahari kwetu watu wanasubiri harusi.

Kama akinibadilikia sijui hii aibu tutaibebaje na familia yangu, nimechanganyikiwa mpaka nawaza sijui nimbebe tu mimba ili azidi kuwa na msimamo aogope kupoteza mke na mtoto!,

Ila nakosa jibu huyu mama simuelewi kwanini ananifanyia hivi Kama alikuwa hataki niolewe na mwanae kwanini hakumzuia kipindi anapeleka mahari wakamsapoti apeleke, kinachoniumiza ni aibu kwetu mahari imeenda alafu ikitokea tukiachana kisa mama yake aibu itakuwa kubwa Bora hata angekuwa hajapeleka mahari.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje kulishinda hili jaribu lililopo mbele yangu, Ndugu zangu Bado sijawambia Kama Kuna huu mgogoro maana hata sijui watalipokeaje nachanganyikiwa Mimi jamani
Wachaga!!! hata mie mwanangu siwezi kumruhusu aoe. Zile safari za kila december nahisi kuna matambiko wanafanyiwa.
 
Sasa kama nyie kutwa watoto wa watu wamewajaa midomoni mwenu ni lini mutaona uzuri wao?

I have always told my man... mambo ya kusema ujasiri sijui nakufa na shida zangu kiume mimi sitaki.. ndo maana dunia imeturuhusu na sisi wanawake tupambane. Hii ya 50/50 ijapokua sometimes tunazingua lakini ni kutaka na sisi tuwe kwenye fursa. Kuna leo na kesho.

Lets assume umepata ajali ukavunjika viumgo muhimu na huwezi kwenda kutafuta tena umekua mlemavu wa kudumu ama umeparalise... na mimi niwe sina ajira unadhani maisha yetu yatakuaje? Unadhani kuna ndugu watakubeba tu? Wao pia wana watoto wao. Ikatokea hayo na na nina ajira utashukuru ama utalaumu?
Ama tuseme ukawa redundunced ofisini... na maisha ndo haya... wote tuwe hatuna ajira utanidhihaki na upambanaji wangu?

Okey, Mungu tuu akakupenda... ukatangulia.. umeimagine familia yetu itakuaje? Dunia imebadilika jamani. Ndoa has a lot to offer na siyo kitamdani tu. Men love sex yes lakini maisha yetu yanatudai mengi na hatuna budi kuyatimiza kwa kusaidiana. Kwenye jamii yetu hatupendi umaskini. Ukaona yuko asiyehiweza basi either kuna mahali amekosea ama neema tu hazijamtembelea. Siko tayari kuwa housewife. Mume nitamtii ila siyo kusimangwa kisa nimetokea ukanda huo. Mbona nawajua wa makabila mbalimbali wajeuri kama nn na inaaminika wana matatizo kibao lakini wala hawatajwi. Nadhani mumewekeza katika chuki..

Jambo nililojifunza.. HUWEZI ONA ZURI LA MTU ENDAPO ULICHAGUA KUYAONA MABAYA TU. HATA ATENDE JEMA KIASI GANI UTALIONA BAYA TU. Hapa siongelei siasa lakini za hao la saba B
Halafu kwann kwenye maisha mnajiwekea kuwa mwanaume ndie anaekufa kwanza, kwan wewe ukifa kwanza haiwezekani?!

Halafu pia.... Nikuulize, katika hiyo ajali hatuwezi kupata wote tukashindwa kuendelea kutafuta pesa....?!

I think something is wrong somewhere kwenye mentality ya wanawake wa kiafrika. Why do u assume the worst kwa partner wako....?!

I mean mbona mama zetu huwa hawasemi mwanangu utakufa mapema so acha kabisa mirathi.....

Mimi kwa upande wangu sidhani mwanaume anahitaji mwanamke anaejiandaa kwaajiri ya majanga.

Unasali na kumuomba MUNGU, badala ya kuombea mazuri.... This is what you keep in your heart kuwa kuna siku nitaanguka au kupata ajali na wewe ndie uje kushika hatamu....?!

Hizi ni akili za kimasikini sana kwakweli. Kwan wewe hauwezi kufariki kabla ya mume wako na akabakia mwenyewe bila wewe?!

Wanawake wa miaka hii kwenye swala la kusema mnapenda mwanaume SI KWELI.

Mnajiandaa kisaikolojia kurithi mali, kwenu mali na pesa za mwanaume ndio ajenda muhimu katika ndoa.... Sisi wanaume ndio tunaowathamini kama watu na si kwa kile mnakuja nacho katika ndoa.

Hebu imagine tuwe na kizazi cha wanaume wanaotongoza wadada wenye kazi na pesa tu ili wawe nao kimahusiano kwa tamaa ya kumiliki mali na pesa zao. Ifike wakati huyu mwanaume anamwambia mwanamke kuwa uniandike katika urithi, ukifa hapa mimi nitabakia vipi na watoto wetu na mwanamke mpya ntakae muoa baada ya kifo chako?!

This is so stupid. Futa hizo akili.....

Aisee. You are the best katika kutwist mada. Si ni wewe uliyesema hamuoi ili mwanamke akawe mpambanaji? Ama siyo wewe? Ama jibu langu lilibase wapi? Yaani ulienda kulala na kuamka na jibu hili? Wewe si unataka house wife? Ama siyo wewe? Mbona unajificha kwenye mada mpya? Majibu yangu kuhusu swali lako nilikujibu vyema juu ya athari za kuwa na mke ambaye yuko iddle. Nikakuambia mf. Ukapata majanga ya ajali, paralysis, redunduncy ama kifo hiyo family itajiendeshaje ama mtakula hiyo kanga moko? Maana tafsiri yako unaoa mke ili akuhudumie mengineo hutaki mpambanaji. Ama ulitaka nikujibuje? Wewe ndo una akili z akimaskini kuwaza kuuliwa kwa mali ambayo huna. Hebu kuweni exposed na dunia basi.
Na kwani hujui life expectancy ya mwanamke na mwanaume ikoje? Unajitoq ufahamu? Maboma mangapi kwenye jamii yetu hapa tz ni wajane. Ama wale walioitwa na bashite pale ilala na mliman city ni wachagga tu walioua waime zao? Mama zetu wangapi ni wajane? Achana na fikra za kimaskini. Miliki mali uone kama utanena haya.

Ukalalama sana sijui munauliwa mukiwa na mali? Ama siyo wewe? Nikauliza kumbe wanaume wote wanaooa wanawake wa kichagga ni matajiri na wanauliwa wote? Maana kila kauli ni mutauliwa... nikakuuliza kwamba hakuna ambazo wanawake walikua ndo financially stable wakasupport family mpaka mkasimama kiuchumi?
Mbona unasimama kwenye weak point sana? Kwa wanaume wangapi unakuta ni alosto lakini wanakutana na mabinti wenye upendo wa dhati wanasaidiana? Navyowajua mabinti wa kichagga wakikupenda kweli they give their all.
Uhalisia ni ukweli wanaume wengi hutangulia kufa na hili unalijua na hata kwenye ukoo wenu wamejaa wajane wengi tu. Kwahiyo sidhani kama wahitaji kujitesa hv. Tafuta hela uoe mwanamke unayempenda usiyemuweza basi hajapangwa siyo umnange.
 
jambo la wachaga kukataliwa na familia nyingi ni jambo la muda mrefu mno. Ngoma imevuma kwa muda sasa, wewe hutakwi na familia ya mume unasubiria nini?. Project two years to come, how 'd you react after seeing thay your firstborn will have never been visited by any person from your husband's side nor recognized as a marriage blessing?. Move on utampata mtu sahihi wa Moyo wako mbeleni 😎😎😎
 
Hongera sana kwa kusimamia maamuzi yako bila kutetereka bila kujali maoni ya mama, dada zako na ndugu wengine. 👍🏽
Dada.... Mm pia ni mchaga wa marang, nimeptia situation inayofanana kias flan na yako.... Ntaeleza kwa ufup sanaaa..... Kwa upande wng niliwahi kuwa kwnye relationship flan na mtoto wa kisambaa aliyekulia moshi kias kwamba unawezasema ni mchaga hapo nipo mwaka wa kwanza chuo na kwa kuwa huwa nina experience ya kukaa kwenye mahusiano muda mrefu, nilijiwekea probability kuwa kama ataendana na vision yang bas ntamuoa, hvyo nilimshrikisha mama kuwa nina mahusiano ambayo nataman yafkie tamat ya ndoa.... Mama alipohoj nliyenae ni wawap... Nikamwambia ni msambaa bas.... Akisisitiza kuwa nisioe tofaut na mtu wa nyumban {mchagga}..... Sikutaka kuchukua maamiz ya haraka haraka kumwacha yule binti mana tulipenda xanaa.... Japo kuna baadhi ya mapungufu niliyabain kwake yalio kando kdgo na vision yang juu ya mwanamke ntakaye muoa... Ghafla mahusiano yalidhoofu hatamaye nikaingia kwenye mahusiano mengine na mchaga (frm machame).... Nikawa naye kwnye mahusiano kwa miaka mi 3had namaliza chuo.... Kipnd chote hcho aliprove kuwa ndio mwanamke ninayemuhitaj ktk maisha yang kama mke (wife produt not only material) nilimjilisha mama tena kwa mara nyngine tena kwa kuwa ndiye aliyetulea kwa % sanaa... Kwamba ninaye mchumba mchaga ss lakin alipojua ni wa machame bas alinikata maain kabxa baada ya kusema hanifai kabsaaa... Nilihisi kupoteza dira mana niliona kama ananiyumbisha tu nilichoamua ni kuingia ktk moyo wng na dhamir yang na kuamua kuwa nimeshajithbishia kuwa ananifaa kwa 90% bas sikurud nyuma kwa kuwa nilijua kuwa hata nikimuoa yule mama atakaye mkubal bila nafsi au moyo wng kumkubal bas ntaishia kumlaumu mama hata akiwa kaburin..... Bal ntakaye mridhia mm bas ntakuwa tayar kwa yote yatakayonipata.... Bas hapo ndio nilposonga mbele kuelekea ndoa japo kwa ugum sana mana hata dada zng na baadh ya ndugu walikuwa kinyume kabxa na mm juu ya hlo suala lakin nilikomaa na mungu pia nilimshirikisha pa1 na mke wng hyo Mtarajiwa (wakat huo 2018)...alinipa ushrikiano zaid ya 100% tenaa baada ya kujua kuwa mama hakumridhia kisa ni mmachame..... Tuliptia mengi sanaaa sanaaa sanaA ya kuumiza tukapgwa vta sanaaa....lakin hata haikuweka ufa ktk nia ya mahusiano yetu..... Yan kila hata ilikuwa mbinde mbinde tu hadi tunafunga ndoa.... Harusi nilisimama ktk nafas zote za kamat...... Maajab ya mungu harusi ilienda poaa sanaaa japo % kubwa my family members hawakuhudhuria nikiwatoa wazaz na dada yetu mkubwa ambao mwshowe walinielewa...... Ndio nilifunga na binti niliyetoka nae mbal kiamisha..... Japo dada zng na baadhi ya ndugu walinitabiria maisha ya shida shida ktk ndoa ukizingatia ckuwa na kaz maalum, kwamba hata miez sita hatutamaliza (nilikuwa muhangaikaj tu)....
Finally ndoa tulifunga, mungu akatujalia mtoto handsome sana wa kiume.... Maisha bora, tumejenga, na neema nyingzo nying.......

Note..... Nimefupsha mnoooo...

Point yang ya msingi BINTI..... Maamuzi ya kuwa ndoa ni nying wawil.... Hasa zaid kwa upande wa mwanaume (mchumba wako.) kama kwel anakupenda na ameshakuchagua ww bas inampasa kuwa na msimamo bila kuyumbishwa na yyote.... Mzaz abaka kama mshaur tu...... Na si kumuamulia kijana wake ili kuepusha lawama juu yake.... Pia aheshimu mahusiano yenu.... Lakin pia atambue mungu hakutubagua hvyo kukukataa au kukuona ww hufai wakat mwanae kakupenda ww ni dhambi kubwa.......

Niishie hapo kwa ufup sanaaaa lakin kwasabab sipend kutyp muda mrefu.... Kuna mengi sanaa sijaandka......
 
Bora umejua mapema na huyu mkaka aoe kwengine, huyo mama angekusumbua sana kwenye ndoa yako na inavyonekana huyo mwanaume anamsikiliza mama yake zaidi,bora umejua mbichi na mbivu mapema, ndoa yako ingekua ngumu sana
 
Unajua watoto wa kike muanze kujifunza kuwa serious na ndoa!

Wewe kuwa mpambanaji na kupambana kwaajiri ya familia yako vinahusiana vipi na ndoa yako na mumeo?!

Haya matabia ndio yanawafanya kuonekana tatizo. Wewe jamii zingine mbona hawasemwi. Unadhani kwamba ni kwa sababu ninyi ndio wazuri sana....?!

Mnawaharibia wadogo zenu wanaonekana nao ni tatizo kumbe ni hiki kizazi cha 1980's ndio mna mawenge ya ajabu ajabu.

Sasa unakazana kusema hapa sijui hamuachi familia zenu kwahiyo unamuona Mwenzako ni mpumbavu kuwekeza jitihada zake kujenga familia yenu ila wewe unatoa kinachotafutwa unapeleka kwa wazazi wako, kama sio kutafuta laaana za ndoa na ukoo ni nini sasa hapo?!

Endeleeni na hayo matabia...... Ipo siku. Wadada wa kimachame nao walianza hivi hivi, kidogo kidogo kutaka kujifanya wanambinu za kimafia katika kuchuma mali katika ndoa. Leo kila mtu hata jamii ya wachagga wanawaogopa.

Ukikutana na mabinti wa kimachame wa kisasa utaona shida wanayopitia. Anaweza kuwa mrembo ila kila Mwanaume inapofika swala la kuoa akisikia ni m'machame hapo hapo ndoa inapigwa stop.

Sasa hii kitu itawageukia mkiendelee na haya matabia..... Haitakuwa mchagga wa rombo, sijui marangu sijui wapi, wote mtakuwa ni tatizo na mtageuzwa tu kuwa incubator za kuzaa watoto na sex toys.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
 
Similar Discussions

42 Reactions
Reply
Back
Top Bottom