Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 452
Kua uyaone jamani...mama mkwe wa rafiki yangu ambaye pia namuita mama Mkwe kila siku ananinengulia jamani, mara ananikaribisha kwa maongezi na anajua kabisa mie na mke na sijawahi msikia akimsifia mke wangu hata siku moja, ni bado kijana tu na analipa kweli lkn je nimege hili tunda? mie naona kama mtego maana anajua kabisa nampenda mke wangu na akisikia watu wanaongelea mimi na wife anakaa kimya au anaondoka...huyu anataka balaa au sio jamani??