Mama mkwe ameniuliza mimi na mtoto wake tulikutana wapi?

Anayeuliza swali ni "mke"si "mme".

Kwanini aseme klabuni hata kama hawajakutana klabuni.


Kwanini asimueleze ukweli?
Akielezwa ukweli yeye itamsaidia nini Mkuu?, anaonekana ni mshari tu huyo wala hana kheri kwa swali lake la kizushi
 
Mbona sioni kosa, wewe ungecheka tu na kiutani ungemwambia mambo ya kisasa haya mama huyawezi watu siku hizi tunakutana kwa njia nyingi siyo kama enzi zenu. Then unampa mambo ya mitao kama facebook, jasho litamtoka maana facebook hajui ni nini? Then unaendeleza utani, unamwuliza kwani enzi zenu mama mlikuwa mnakutanaje. Utaona utamu wa maongezi. Kimya hakikusaidii chochote au hujui kuongea na mama mkwe?
 
mh!
hili swali hili!
manake ni kama anashangaa!
ilikuwaje mkaoana?
kuna vitu hajavipenda kwa muda aliokaa hapo kwenu ndo anajiuliza kheeee ilikuwaje??
sijui but sijapenda hata mimi!
naweza kujua lijisikiaje!
 
Leo asubuhi, baada ya kumsalimia mama mkwe, ameniuliza mimi na mtoto wake tulikutana wapi? Nimeshindwa kumjibu kwasababu sijaelewa mantiki ya swali lake.

1. Akishajua itamsaidia nini?

2. Au hajaridhika kuwa mimi nina hadhi ya kuwa mkwe wake?
JIBU sahihi ni: 2
 
tatizo umeichukulia ubaya maybe she meant well though its uncommon waswahili kuuliza hivyo. kama ana mambo ya kizungu anataka story mlivyokutana etc
 
Niling'ata meno, kwasababu ningeruhusu maneno yatoke ninadhani hali ingekuwa mbaya sana.

You did well my dia! Msamehe bure mana huenda sio yeye bali ni kazi za shetani. Ujue hapo anakuchokonoa ili kukuvurugia ndoa yako, sasa wewe MPOTEZEE!!
 
Wabongo kwa kukuza mambo, hamjambo!

Sijui ni kukosa kujiamini?

Sijaona tatizo na hilo swali.

Ni miongoni mwa kile Wazungu wanachoita "small talk"

Kwani ukimwambia mlipokutania utapungukiwa wapi?

Au ukibabaisha kwa kutoa joke instead itakuwaje?
 
Wabongo kwa kukuza mambo, hamjambo!

Sijui ni kukosa kujiamini?

Sijaona tatizo na hilo swali.

Ni miongoni mwa kile Wazungu wanachoita "small talk"

Kwani ukimwambia mlipokutania utapungukiwa wapi?

Au ukibabaisha kwa kutoa joke instead itakuwaje?

asante!
Ugumu uko wapi eeeti?
 
Leo asubuhi, baada ya kumsalimia mama mkwe, ameniuliza mimi na mtoto wake tulikutana wapi? Nimeshindwa kumjibu kwasababu sijaelewa mantiki ya swali lake.

1. Akishajua itamsaidia nini?

2. Au hajaridhika kuwa mimi nina hadhi ya kuwa mkwe wake?

uko suspicious tayari na mama mkwe wako
hata kama hana gubu wewe tayari utamuona ana gubu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom