only83 JF-Expert Member Oct 15, 2010 5,343 2,525 Sep 7, 2012 #1 MJAMZITO alikwenda Hospital akakutana na Daktari aliyegoma. Mambo yakawa hivi: Mjamzito: Dokta Mtoto hachezi Tumboni tangu juzi nifanyeje? Daktari: Meza Kitenesi na Filimbi,ukiona bado hachezi meza kadi Nyekundu atoke nje.
MJAMZITO alikwenda Hospital akakutana na Daktari aliyegoma. Mambo yakawa hivi: Mjamzito: Dokta Mtoto hachezi Tumboni tangu juzi nifanyeje? Daktari: Meza Kitenesi na Filimbi,ukiona bado hachezi meza kadi Nyekundu atoke nje.
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Sep 8, 2012 #2 Teh majibu yanakera na kukatisha tamaa
N Nesindiso Sir JF-Expert Member Oct 31, 2007 379 21 Sep 11, 2012 #3 Mgomo wa madakitari unaendelea!!