Bravius
Member
- Oct 3, 2014
- 23
- 8
Wanajamii wenzangu poleni na majukumu ya maendeleo
Mke wangu ni mjamzito wa wiki 42 n sawa na miezi 10 na wiki 2 lakini hanatatizo la haina lolote kwa kipindi xhochote na nmecheki ultrasound takribani Mara mbili na ya mwisho na Tarehe 10 ya mwezi huu na kuna tatizo lolote kwa mtoto na njia iko safi kabisa na baada ya ultrasound tuliyofanya tarehe ya makadilio.
Tulipewa kuanzia tarehe 10 yasizidi Masaa 48 but hadi Leo hakuna uchungu zaidi ya kuharisha kwa vipindi tofauti tofauti naombeni msaada wanajamii wenzangu najua nitapata ushauri na utaalamu nini cha kufanya asanteni.