Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,202
- 218
Mama Mia
Wewe ni wangu sina Taimu na vicheche .
Nakuomba Tena kwa mara Nyingine Uje JF uninongoneze
Wewe ni wangu sina Taimu na vicheche .
Nakuomba Tena kwa mara Nyingine Uje JF uninongoneze
Mama Mia
Wewe ni wangu sina Taimu na vicheche .
Nakuomba Tena kwa mara Nyingine Uje JF uninongoneze
Naam , naam nawaambia.
Hata vicheche watasema hawana time na vicheche. Hizi ndizo habari.
Pussywhipped 2:23
Shy huna ubavu wa kumbeba mama mia we endelea kula kwa macho na kulia lia.
kwani huyo mama mia ana uzito gani hata shy ashindwe kumbeba wee Fide!!
Bonge la mtu ana kilo 120 kama gunia la viazi ataweza wapi? Hiyo ni mzigo yetu bht.
Mama Mia
Wewe ni wangu sina Taimu na vicheche .
Nakuomba Tena kwa mara Nyingine Uje JF uninongoneze
hahaaa shy ana ngapi Fide?? am trying to imagine u na hiyo'mizigo' ya 120 inakuwaje!!! utavunjwa mbavu wewe!!!!!!!!!
Hahahaha bht hiyo mama ndo mizigo yangu nina mkakati wa kuanza kukutambulisha mmoja baada ya mwingine huyo ana uzito wa unyoya.
yeomiiiiiiiiii!!! naogopa mie usije ukasema nimekuharibia maana sitavumilia uwapange katu!!!!!!!!!!! ntakuumbua hivyo bora usinishirikishe kwenye hilo!!!
Hahahaha uniumbue kwa lipi wakati wanajuana!!
Yaani wao wenyewe wanaitana Dada mdogo dada mkubwa ukiwa na mkakati wa kuniumbua utagonga hewa.
khee simo!!!!!!! kumbe maridhiano!!