Mama Mgwhira asisitiza kwamba hajaachia Uenyekiti wa ACT Wazalendo hadi Juni 15

Waambie Mama, hivi vyombo vya habari ni shida kubwanchini. Hawajali kweli kwa sana tu maendeleo ya wananchi, hata kutupatia habari nzuri za kupaisha nchi bali udaku zaidi.

hata le pro pesa li pumba vu alianza hivi hivi kimzaha mzaha.......kama kweli zitto hahusiki kuihujumu ukawa basi na amchinjie huyu mama baharini haraka sana ohoooooo
 
Nilimshangaa Mgwamba eti kaimu kiongozi wa chama anamvua madaraka mwenyekiti kwa kikao kipi?
Huyu mama akiamua yanaweza kutokea yale ya kafu.wapinzani wa nchi hii ni wasanii sana,ni wepesi mno kusigina katiba zao
Huyo Mgwamba Samsoni alishajiuzulu na kubakia mwanachama wa kawaida,ni nani aliempa cheo cha kaimu kiongozi wa chama?je cheo hicho kipo kwenye katiba ya ACT?
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa ACT wazalendo Anna Mgwira amesema yeye hajapinga kuondolewa uenyekiti wa ACT wazalendo ila amepinga utaratibu uliotumika.

Hapingi utaratibu kwa ajili yake ila ni utaratibu unaotakiwa kuwa kwenye vyama vyote, kuwamteuliwa wa mkutano mkuu hutenguliwa na mkutano mkuu, mteuliwa wa halmashauri kuu pia hutenguliwa na halmashauri kuu na ACT wamefanya haraka mno na alikuwa ameshawaomba wakutane tarehe 15 lakini wakaharakisha

Amewashangaa waandishi wa habari kuchukua habari nusu na kuacha habari za muhimu kwa maendeleo

Chanzo: Millard Ayo
Mama Mghwila, maendeleo yapi utafanya Moshi. Umeikuta hivyo na utaiacha hivyo. Hakuna maendeleo utakayoya-initiate kwa wachaga, hawa wanajielewa. Labda upelekwe Kigoma!
 
Mama Mghwila, maendeleo yapi utafanya Moshi. Umeikuta hivyo na utaiacha hivyo. Hakuna maendeleo utakayoya-initiate kwa wachaga, hawa wanajielewa. Labda upelekwe Kigoma!
Moshi haiendelei kwani mkuu, ipo stagnant?
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya ccm na ACT ?
IMG_20170609_193711.jpg
IMG_20170608_135250.jpg
 
Back
Top Bottom