Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,279
- 25,854
Siku ya tarehe 30/10/2015, Mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Elisha Mghwira alikabidhi Ilani ya ACT-Wazalendo kwa Rais John P.J. Magufuli (wakati huo akiwa Rais Mteule). Mambo yalikuwa hivi:
Leo tarehe 6/6/2017, Mama Mghwira ameapishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na kukabidhiwa Ilani ya CCM (picha itaambatanishwa). Kwakuwa Mama Mghwira aliamini kuwa Ilani ya ACT-Wazalendo ina mambo mazuri, anapaswa sasa kuchanganya na Ilani ya CCM ili ayafanye yaliyo mema.
Hakika, Mama Mghwira alikabidhi Ilani ya chama chake kwa CCM na leo amekabidhiwa Ilani ya CCM ili akaisimamie na kuitekeleza. Ni mambo ya kabidhi, ukabidhiwe!