Mama Maria Nyerere amvika nguo BWM kwa kusema hausiki na kifo cha Nyerere

Source gazeti la magamba

Gazeti hilo linadai kuwa Mkapa hausiki na kifo cha mwl na siri ya kifo anaijua yeye na kinachochekesha eti anaomba Vicent aonywe na amwache muuaji apumzike.


Mimi nashangaa iweje mama Maria aseme Vicent aonywe badala yeye kama mama kumuonya ni imani yangu taarifa inepikwa navyowajua tbc wangemmulika ili wauze sura vzr ila gazeti kwa kuwa hakuna ushahidi wanamwosha damu muuaji

Pole jamaa yangu kwa kuteswa na hii taarifa. Hata mimi sikuipokea vizuri, lakini niliitarajia kwamba lazima ije kupitia kinywa cha mama yetu huyu. Nilijua ni lazima waheshimiwa kuua soo hii wataitaka kauli hii iwafute jasho, wajipange kuja na COMFUSING STORY MPYA, kuizima hii. Kama Kweli Mama kasema hii kauli ananikumbusha desturi za zamani, ikiwa utakuwa umekaa na Mtu mzima, kisha kwa bahati mbaya mkubwa akaachia "USHUZI", wewe mdogo utalambwa kibao na kufurushwa kwamba umejamba kumsetiri MKUBWA! Ninaliona hili likijirudia miaka hii 100%. Fine Mama yetu ni wa siku nyingi! Hivi ndivyo tulivyowaonya watoto wa siku zetu!
 
uongo wenu wa kupenda kusikia kilakitu mtalishwa hata sumu mtakula!kweli inakuja MKAPA Amuue NYERERE Kisa nani unaona inawezekana?

Kwani ukikaa kimya unaona nini? Pumbapumba hizi unazozisema hazina majibu mazuri! Inaonekana wewe wala huelewi kinchojadiliwa!
 
Mama Maria ameshazeeka kwa hiyo hapotezi wala hapati chochote kusema Mkapa hausiki na kifo cha Mwalimu kwa sababu chochote atakachosema hakitaweza kumrudishia mumewe JK Nyerere.Ataamua kuangalia mustakabali wake zaidi ambao ni kutoivuruga serikali asije akapunguziwa Mkate anaopewa. Sikutegemea at all kama angetoa jibu tofauti na hilo kwani anajua na akaamua kunyamaza. Kilichosababisha Vincent nyerere kupasua jipu ni Mkapa amejileta kwenye kilengeo kwa lengo la kumtibulia mtu ambaye kwa mda mrefu amekuwa akikosa avenue ya kupumulia hadi pale Mkapa alipombonyeza mashavu kwa nguvu na hatimaye kijana wa watu akajikuta anapumua kwa nguvu. MKAPA AELEWE PUMZI ILIYOTOKA HUWEZI KUIRUDISHA TENA NDANI
 
Siasa za majitaka kamwe haziwezi kuingiza CDM ikulu
Wananchi wanahitaji kushawishika kwa sera zenu na si propaganda za maji taka

Hii pia ni Kanuni ya maisha : AKUANZAE MMALIZE! Aliyeanza Siasa "DAWASCO" ni Benja kwa niaba ya waliomtuma! ALIBIP, WANAPIGA KWA KASI AMBAYO HAKUITEGEMEA!
 
Back
Top Bottom