Baada ya mama watu kulionya taifa hili kwamba litaanguka kutokana na rushwa, watu kung'ang'ania madaraka na kutojali maoni ya wananchi. Lakini pia Mama huyu alisema anazuiwa kusema na kusoma magazeti anayotaka mpaka anawatuma wajukuu zake kumnunulia magazeti yanayosema ukweli. Mama huyu amempa siri nzito Dr Slaa ambayo mipango ya chama ni kuitoa hadharani muda ukifika
Source: Mi mwenyewe ktk msafara na sasa tunaingia Kagera.