Mama Maria Nyerere amewasili mji wa Dodoma kushuhudia vikao vya Uteuzi vya CCM

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Mama Maria Nyerere amekwisha wasili mji wa Dodoma kushuhudia vikao vya uteuzi vya Chama Cha Mapinduzi [CCM] vinavyoendelea kwenye mji wa Dodoma:
Source: FB Page ya Cyprian Msiba:
 
Ilikuwa lazima aje kumshuhudia rais wetu mteule kipenzi cha watanzania na wana cc mh. Edward lowassa akiteuliwa na kamati kuu cc usiku huu
 
11713375_783926191726053_2033373521_n.jpg
 
Mafisadi wa ccm hawataki kiongozi mwadilifu mama Maria Nyerere ungepumzika nyumbani huko unaenda kutafuta presha bure.
Nasikia kikao kimearishwa mpaka kesho saa nne
 
ukiona hivyo kuna watu wameshinikiza huyo mama aje....vinginevyo angefika mapema na bungen angekuwemo leo
 
Mama Maria Nyerere amekwisha wasili mji wa Dodoma kushuhudia vikao vya uteuzi vya Chama Cha Mapinduzi [CCM] vinavyoendelea kwenye mji wa Dodoma:
Source: FB Page ya Cyprian Msiba:
akaze moyo,makongoro atachakazwa muda si mrefu,
 
Ilikuwa lazima aje kumshuhudia rais wetu mteule kipenzi cha watanzania na wana cc mh. Edward lowassa akiteuliwa na kamati kuu cc usiku huu

kweli kabisa,hatuwezi kuwa na rais ambaye hawezi kuongea mpaka afundishwe na mama yake
 
Ilikuwa lazima aje kumshudia rais wetu mteule kipenzi cha watanzania na wana cc mh. Edward lowassa akiteuliwa na kamati kuu cc usiku huu

Lazima akatwe na wakataji wasipomkata inabidi watoe maelezo kwanini hawajamkata.Vinginevyo nashauri wagombea wengine wagome
 
Back
Top Bottom