Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

uchungaji wa huyu mama wa ki madawa-dawa.....asitake kutuchafua humu na ole wake huyo bibi..

jk mwenyewe ni memba humu, pinda ni memba kaingia juz, makinda yupo....yeye mwenyewe huyo mchungaji ni member mzuri wa jukwa letu pendwa kule chini mbuyuni ..asitishe watu hapa...

mle mbungeni kila mtu anaijua jf vizuri sana.....
 
Nashukuru sana Waziri amejibu vyema sana...yaani akutaka kuiponda kabisa JF..huyu Spika ati ndio anasema JF ni tatizo kubwa..wapi bwana? aache kutuzingua bwana.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Sasa kama tukimuona mtu anasinzia kama huyu tukasema ukweli yanakuwa ni matusi???
 

Attachments

  • Wassira.jpg
    Wassira.jpg
    16.7 KB · Views: 2,181
Kama hoja ni kwamba jf ni ya Chadema, je redio uhuru mbona ni ya thithiem na haifungwi? Kimsingi, jf ni kisima cha hekima kwa Watanzania. Ila kwa wale wapumbavu ni kisima cha upumbavu. Kama yeye huingia kutafuta matusi basi atayapata ila akiingia kutafuta hekima ataipata. "If you are in the hole, don't dig." That means you will not be able to get out as the depth of the hole increases.
 
hawa wanakula hela yetu kwa discussion za kipumbavu namna hii............tatizo la wabunge wasio na majimbo hili!!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kwa hiyo kupinga posho kubwa za wabunge ni maudhi? Kuna mambo wanayoyafanya wao ni maudhi pia.
 
Nilikuwa nawasha tv kushuhudia Bunge la leo japo nimechelewa ila nilichokuta ni kiongozi mmoja akisisitiza jamii forum kuchukuliwa hatua na kuchunguza wote wanaoshiriki humu ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua naibu waziri sayansi na teknolojia amejibu vizuri wadau mmeipata hiyo?
 
kuna watu ile kufungua jf tu wanaingiza siku...watu kibao wameajiliwa na serikali hii kazi ni kushida jf na kujua nini kinaendelea.....kikwete mwenyewe taarifa nyingi za nchi anazipatia humu
 
Khaaa! Wamemaliza kujadili mgomo wa madaktari au wameona jf ndio kitu cha msingi kuliko mgomo wa madaktari? Kweli wamekosa kazi!
 
Back
Top Bottom