Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

haya swali lenyewe lisaulizwa na majibu yake ni JAMBO AU JAMIIFORUM NI MTANDAO ULIOSAJILIWA NJE YA NCHI,
 
Waziri ameulizwa kwa nini JF na wamiliki wake wasichikuliwe hatua kwani wanasambaza habari za uongo bila kuguswa....LOLO
 
spika anajibu swali la lwakatare kuhusu mmiliki wa jamiiforums. waziri anadai hamjui mmiliki na kwamba anaweza akawa mtz au sio mtz. Kwamba hapa bongo haujasajiliwa.
 
huyu mama asiwatishe lolote ...ni memba humu na hasa jukwaa letu a kule chini kule mbuyuni....hana lolote huyu
 
serikali ipo tayari kuleta mswada bungeni ili kuwabana wanaotoa matusi kwenye mitandao hii?
 
Swali limeulizwa kwa niabayake.. Majibu ya serikali yamesimama vizuri, uhuru wa maoni, na yanainukuu TCRA... badu Jamii Forum imesimama...

Swali la nyongeza linasisitiza sheria letwe idhibiti... sasa sijui hii imekaaje kama saver haiko hapa...
 
Mtandao wa jamii forums wajadiliwa bungeni. Mbunge adai mambo yanayojadiliwa humu ni maudhi. Mbunge ahoji kama serikali ipo tayari kuwabana wanaoandika maneno ya maudhi au uchochezi kwenye mitandao kama hii
 
Wanataka ibanwe, eti wanaandika uchochezi, ni uchochezi upi? mbona hawausemi? yangu macho. wanataka kujua mmiliki wa jamiiforums n nan wanauliza.
 
wanasema eti tunaandika matusi, wanataka kujua owner wa jamii forum. swali limeulizwa leo hii bungeni.
 
Na ndugai nae kama mnoko flani kwenye majibu ya naibu wazir kitwanga
 
mwizi mkubwa huyu ....ameibia watu wengi sana hasa maeneo akitumia mgonngo wa kanisa.....
 
Back
Top Bottom