Mama Kilango Big Up for this!

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Akichangia muda huu kwenye kamati ya Miundombinu ameilaumu serikali kwa kuiachia TBS iendelee kuruhusu uingizaji wa FAKE LUBRICANTS ambazo zimezagaa nchini zikiuzwa bei chee

Hii hutuletea majanga yafuatayo
  • Kuua magari ya wananchi
  • Kuua uchumi wa nchi kwa kutumia pesa za kigeni kununua vipuri
  • Kukosa mapato ya kodi ya uingizaji wa bidhaa fake
  • Taifa kuwa dampo la bidhaa takataka

Watanzania kwa kupenda bure basi tunaumia zaidi pasipo kujua!
Tubadilike!
Hongera Mama Anna Kilango Malecela kwa uzungumzia hoja zenye maslahi ya nchi!
 
Mi nashindwa kuelewa kwani ameanza kulalamika leo?!!hata mwakani atarudi tena kulalamika tumeshawazoea.
 
Back
Top Bottom