Elections 2010 Mama kikwete aingia kimya kimya kigoma na kuondoka

Familia inashugulikia mlo wa Ikulu badala ya chama, pengine naona kaamua kukinunua ili kiwe chake km vile Clubs zinavyonunuliwa Ulaya.

Shame on them
 
Vipi Mkuu, wewe hukukaribishwa kwenye kampeni za Shuka kwa Shuka.......?
Duh!! Ivi huyu dem wa JK huwa anawatembelea wadau kwenye shuka?? Mhhh!! Siipati picha ya kinachoendelea ndani ya hizi shuka, mpaka kampeni hizi zikamilike......!!! mnafaidi ehh!!??
 
Yawezekana amepiga kampeni ya 'shuka kwa shuka' yeye mwenyewe na kushtukia baadaye maana yake Kigoma kwa 'ndumba' ndio wenyewe. yaani mwanamke anakuta joint yake hiko wet.
 
Back
Top Bottom