Mama katili kuliko wote bungeni!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama katili kuliko wote bungeni!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BASIASI, Nov 11, 2010.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Jamani naomba nianze na huyu ,ila naomba wabunge mliochaguliwa msikubali kuwa watumwa kama mashetani walioondoka ,

  1)anna makinda
   
 2. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umemfagilia vizuri sana. Ataliongoza bunge vizuri kwa kasii na viwango vilivyomshinda 6
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hakuna mwanamke katili ila kuna Wanaume wasio waadilifu kwenye maadili ya uogozi wa kifamilia nk

  ... Mbele ya mwanaume ..NOBLE, FULL OF CHARACTER, SENSIBLE and MEANINGFULL yaani MAADILI KAMILI ...hasimami mwanamke katili ..akasima kidedea!

  ...mwanaume asiye na maadili ni fisadi katika ngazi zote..! Hadi kuruhusu nguvu hasi ndani ya mwanamke kujitokeza na kutwaa utawala!!

  .... si fikiri Anna Makinda kazungu na nguvu sahihi ...tusubiri tuone..!!
   
 4. j

  j4marunda Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Anna Makinda anaweza kuwa spika mzuri tu! kama amesukumwa na dhamira yake kuomba nafasi hiyo nyeti sana!Lakini kama amesukumwa na nguvu za mafisadi ambao tangu mwanzo wameonyesha nia yao ya kuweka fisadi laoo! Basi mama huyu ni vurugu tupu ndani ya Bunge lenye heshima yake katika Africa Mashariki.
   
 5. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  simpendi huyu mama.....lkn umetumia viwango gani kusema kama ni katili?
  tbs au vya kimataifa?
   
 6. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160

  Thread yako haina maelezo yanayofanana na heading, hujaeleza huo ukatili wala details za kumwingia mtu akilini. Kimsingi ni kama umekurupuka tu bila kufukiri kwa umakini juu ya unachotaka kuandika.
  Please kama you mean it give details
   
 7. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ukatilin gani alio nao mpaka um lebo hivo mama wa watu?
   
 8. M

  Micho Senior Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Huyu mama alipata ujasiri wapi wa kwenda kugombea kiti cha bosi wake?
   
 9. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #9
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  -Kwa hakika Mh. Anna Makinda ndiye the next Spika, mafisadi chaguo lao lilikuwa Mh. Anna Abdallah wamepiga chini, bunge lijalo litakuwa saafi sana maana utakuwa uwanja wa mapambano ya wanaotaka Urais 2015, mawili kuna uwezekano wa sisi wananchi ku-benefit big time na hiyo vita, au mwenye nguvu mmoja akawateka wote na kuzima makelele yote huko,

  - Otherwise, Mh. Anna Makinda si chagua la mafisadi they know better jinsi anavyowatwanga kule CC! na jinsi walivyohangaika sana kumzuia asirudi bungeni kule jimboni kwake!


  William.
   
 10. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2010
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Kama haya unayoyasema mkulu ni kweli basi itakuwa vizuri,lakini mama anatakiwa apunguze ubabe!
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Hivi ni Anne Makinda au Anna Makinda? hii vowel ya mwisho seems to be confusing an "a" or "e"?

  Hivi tofauti ya Anne Makinda na Anna Abdallah ni ipi? Bird of the same feather!

  Hivi "outstanding performance" ya bunge inategemea nani ni spika au uwezo wa wabunge?
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  'Propaganda machine ya CCM' inataka kutuaminisha kwamba Makinda si chaguo la mafisadi..lol

  Hata mtoto mdogo atakucheka.
   
 13. K

  Kashishi JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2010
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 1,101
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mimi nakwambia Anna Makinda ni katili (rude), A woman with NO respect. Ni mbinafsi. Hana chembe ya respect kwa wabunge hususan wapinzani. Mbunge hajamaliza kusema kishamkatiza (with rude comments). Anachojua yeye ni kuibeba serikali tu. Kazi ipo huko bungeni kama atashinda hicho kiti cha uspika.
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sote tunajua SS pamoja na udhaifu wake at least alikuwa na courage ya kuruhusu mijadala ya Richmond na mambo ya chini ya kapeti ya Rais mstaafu Mkapa kujadiliwa bungeni, na sote tunajua pindi SS alipokosekana kwene kiti chake, wasaidizi wake *Akiwemo Makinda* walivooendesha mambo hovyohovyo kuilinda serikali badala ya kuwa refarii na kuzuia udhaifu wa serikali na CCM usizungumzwe bungeni..sasa leo hii Makinda awe si chaguo la mafisadi is a ridiculous assertion.
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ramli! teh teh teh teh!!! Simpendi kabisa huyu mwanamke, ataliendesha bunge kulinda maslahi ya VIBAKA!!!!
   
 16. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nampenda na kumuunga mkono makinda lakini huu ni uzushi na hisia binafsi
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tulia Brother, we hujui kitu! Huyu mama aliandaliwa na VIBAKA walewale, MANYANG'AU walewale!! Anna Abdallah + Anne Makinda = Mvinyo ule ule!!! Heri tukajua kuwa Bunge linaongozwa na FISADI anayejua kuwa anajua sisi tunajua, kuliko kuongozwa na mtu aliyewekwa na MAFISADI ambaye sie hatujui kama ni FISADI, na yeye akijua kuwa hatujui!!! Ah! Inauma!!
   
 18. M

  Micho Senior Member

  #18
  Nov 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  I totally disagree...kama ni hivyo kwanini aende kuchukua form za kugombani kiti cha bosi wake...?huyu mama hana uwezo wakuongoza hili bunge anaongea na wabunge kama mahousegirl wake nyumbani...'wee kaa chini'...'hatuko uko bwana umekosea'... 'ebu nyamaza'
  Labda Tibaijuka angekua ideal candidate
   
 19. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kitendo chake cha kugombea nafasi ya Boss wake kinatupa somo kuwa hawakuwa wamoja walipokuwa wanafanyakazi katika ofisi ya spika.

  Kwa sababu kwa akili ya kawaida kabisa, huwezi kabisa kugombea nafasi ya Boss wako kama mlikuwa mnaelewana. Nafikiri ndio sababu kubwa ya kusema kuwa huyu mama ni katili
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,450
  Likes Received: 5,841
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mzee Ndesa keshamtuliza tayari
   
Loading...