LOTH HEMA JF-Expert Member Dec 6, 2015 15,788 23,056 Jan 11, 2017 #3 Anaongelea Nini Kwenye Kipindi Cha SAFARI YA DODOMA ?
think center JF-Expert Member Dec 27, 2016 485 527 Jan 11, 2017 #5 Dr Simba said: Mama karume ndio nani? Click to expand... Mama karume ni mamaaake karume mkuu, sasa kisichoeleweka hapo nn.
Dr Simba said: Mama karume ndio nani? Click to expand... Mama karume ni mamaaake karume mkuu, sasa kisichoeleweka hapo nn.
Mwanamayu JF-Expert Member May 7, 2010 11,609 6,823 Jan 11, 2017 #6 think center said: Mama karume ni mamaaake karume mkuu, sasa kisichoeleweka hapo nn. Click to expand... Karume wako wengi.
think center said: Mama karume ni mamaaake karume mkuu, sasa kisichoeleweka hapo nn. Click to expand... Karume wako wengi.
Easyway JF-Expert Member Oct 5, 2012 2,606 3,710 Jan 11, 2017 #7 Dr Simba said: Mama karume ndio nani? Click to expand... Shadya Karume mke wa Aman Karume. Fatma Karume mke wa Abed Karume. Pia kuna mama Karume mke wa balozi Ali Karume.
Dr Simba said: Mama karume ndio nani? Click to expand... Shadya Karume mke wa Aman Karume. Fatma Karume mke wa Abed Karume. Pia kuna mama Karume mke wa balozi Ali Karume.
Tindo JF-Expert Member Sep 28, 2011 62,279 109,264 Jan 11, 2017 #8 IFRS said: Msikilizeni Click to expand... Mkuu wanaongali TBC ni wazee na wala hawaingii huku mitandaoni. Pita huko mtaani kwako tafuta wazee waambie waangalie TBC kuna hicho kipindi.
IFRS said: Msikilizeni Click to expand... Mkuu wanaongali TBC ni wazee na wala hawaingii huku mitandaoni. Pita huko mtaani kwako tafuta wazee waambie waangalie TBC kuna hicho kipindi.