Mama Janeth Magufuli ni mgonjwa kufuatia mshtuko wa kifo cha mumewe Hayati Magufuli

Jana usiku wa manane nikiwa nimelala fofofo nimeota kuwa kuna mtu nisiemjua ambae anadanganya kuwa Corona ni ugonjwa wa mshtuko!
Watu wengi waliopata Cironavirus wameumwa kifamilia zaidi kwa sababu ya kuchanganyika nyumbani.

Hivyo mume akifariki kwa Covid-19 si ajabu mke akaumwa Covid.

Tuseme ukweli tu, kufichaficha hakusaidii kitu.

Ndiyo hizi habari za "Rais ni mzima anapiga kazi Ikulu".
Halafu mnasikia paaa, kitu cha daflao kimeita.
 
Joseph mtoto wa rais wa awamu ya tano Hayati John Magufuli amesema mama yake, Janet anaendelea na matibabu baada ya kupata mshtuko kufuatia kifo cha mumewe.

Akizungumza kwa niaba ya familia ya Magufuli wakati wa kongamano la viongozi wa dini, Joseph amesema mama yake hayupo vizuri kiafya lakini anaendelea na matibabu.

“Mama hakuweza kuja kwa sababu ya tatizo la kiafya alipatwa na mshtuko baada ya baba kufariki, yupo anaendelea na matibabu."

"Mama anawashukuru viongozi wa dini na watu wote kwa kuliombea Taifa wakati wote wa msiba na ilikuwa jambo gumu kumpoteza mzazi na kiongozi wa Taifa,” amesema.

Joseph amewasisitiza Watanzania kuendelea kumuomba Mungu ili upendo, amani na mshikamano viendelee kutawala nchini.
Kwenye sayansi ya kiroho ni kuwa kama kipimo alichokuwa akiwapimia watu wengine ndicho watakacho pimiwa. Rai yangu ni kumwomba mungu rehema angali ipo kabla haijafungwa
 
Joseph mtoto wa rais wa awamu ya tano Hayati John Magufuli amesema mama yake, Janet anaendelea na matibabu baada ya kupata mshtuko kufuatia kifo cha mumewe.

Akizungumza kwa niaba ya familia ya Magufuli wakati wa kongamano la viongozi wa dini, Joseph amesema mama yake hayupo vizuri kiafya lakini anaendelea na matibabu.

“Mama hakuweza kuja kwa sababu ya tatizo la kiafya alipatwa na mshtuko baada ya baba kufariki, yupo anaendelea na matibabu."

"Mama anawashukuru viongozi wa dini na watu wote kwa kuliombea Taifa wakati wote wa msiba na ilikuwa jambo gumu kumpoteza mzazi na kiongozi wa Taifa,” amesema.

Joseph amewasisitiza Watanzania kuendelea kumuomba Mungu ili upendo, amani na mshikamano viendelee kutawala nchini.
Nipeni Gwajima.
 
Back
Top Bottom