Mama Janeth Magufuli kila mkutano unaenda kunangwa, uwe unabaki Nyumbani

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,964
28,454
Hua sio utamaduni

Sasa Mama Janeth wewe kila mkutano unakwenda kunangwa na kutukanwa kisa kufiwa? Kwani ulipenda kufiwa?

Uwe unatulia nyumbani huku ukisali rozari yako na kuombea marehemu waliotangulia.

Unajitahidi sana kuonesha umoja lakini wenzako ndio kwanza wanakunanga hadharani.

Kifo cha mume wako inaonekana kuna watu ni furaha hadi leo, yaani wewe unalia wenzako wanacheka.

Jitahidi uwe hauhudhurii mialiko yao kama hakuna ulazima na ushaambiwa wao wataishi milele bado umo tu.
 
Wacha wamnange ...mwisho wa ubaya huwa ni aibu ..mme wake alikuwa anawaambia watoto wa wenzie wajiajiri halafu wa kwake akawa anawapachika kwenye vitengo....leo jesca magufuri yupo wizara ya madini halafu ni form four failure
 
Hua sio utamaduni
Sasa Mama Janeth wewe kila mkutano unakwenda kunangwa na kutukanwa kisa kufiwa? Kwani ulipenda kufiwa?
Uwe unatulia nyumbani huku ukisali rozari yako na kuombea marehemu waliotangulia.
Unajitahidi sana kuonesha umoja lakini wenzako ndio kwanza wanakunanga hadharani.
Kifo cha mume wako inaonekana kuna watu ni furaha hadi leo, yaani wewe unalia wenzako wanacheka.
Jitahidi uwe hauhudhurii mialiko yao kama hakuna ulazima na ushaambiwa wao wataishi milele bado umo tu.
Kwakweli sometimes unatakiwa kama binadamu uwaze namna hii ,kama mtu unajua maumivu huwez mnanga marehemu mbele ya mke/mume/mtoto/ndugu/jamaa n.k
Inauma kwakweli na inaleta huzuni ambayo huenda ilikua inapotea....so sad...
 
Hua sio utamaduni
Sasa Mama Janeth wewe kila mkutano unakwenda kunangwa na kutukanwa kisa kufiwa? Kwani ulipenda kufiwa?
Uwe unatulia nyumbani huku ukisali rozari yako na kuombea marehemu waliotangulia.
Unajitahidi sana kuonesha umoja lakini wenzako ndio kwanza wanakunanga hadharani.
Kifo cha mume wako inaonekana kuna watu ni furaha hadi leo, yaani wewe unalia wenzako wanacheka.
Jitahidi uwe hauhudhurii mialiko yao kama hakuna ulazima na ushaambiwa wao wataishi milele bado umo tu.
Magufuli kasemwa vibaya lini kwenye mkutano wa CCM? Acha uchonganishi
 
Back
Top Bottom