Public relations: Mama Janeth Magufuli anaweza kuwashawishi wake za Mabalozi nchini kutembelea vivutio vyetu vya utalii?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier (last born) nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu;

Mama Janeth Magufuli anaweza akawashawishi wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania ili aende nao kupanda Mlima Kilimanjaro au kutembelea Serengeti National Park?

Kama Naibu Spika Dr. Tulia ameweza kuwa Balozi mzuri katika kuitangaza vema Tanzania, mama yetu pia anaweza.

IMG_20200214_143940_850.jpg


Courtesy is to be polite and have good manners. It is to be considerate of others and to have gracious ways. It is a way of acting with people which makes them feel valued, cared for, and respected.

Courtesy is something people use when they are trying to make a good impression. It’s important to show courtesy with friends, relatives and people we are meeting for the first time.

IMG_20200214_144016_012.jpg


Practicing courtesy makes every person feel important and acknowledged. The next time they come in contact with you, they want to be around you and to help you. Courtesy is like a magnet. It makes you attractive to others.

IMG_20200214_150308_203.jpg


Picha hapo chini ni Mama Salma Kikwete aliwaalika wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya Ikulu jijini Dar. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na mama Mwanamwema Shein na Mama Tunu Pinda. Hapa wakiwa wamepiga picha ya ukumbusho.

IMG_20200214_144057_273.jpg


OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Mnataka first ladies wafanane?Mwl.Salma alikuwa anakagua miradi ya maendeleo na kufokafoka. Siioni WAMA labda Kama ilikuwa na mkataba na awamu ya 4 tu au haikuwa na sustainability plan.
 
Tusubiri ajaye ndugu zangu, kama ile ofisi tu ya pale pembeni ya kumfanya awe busy ilishafungwa unadhani kuna cha ziada hapo?
 
Kabla ya kumtaka Mama Janet Magufuli afanye hivyo unavyotaka Wewe je, huyo Mtangulizi wake Mama Salma Kikwete na wake wa Marais wengine waliopita Wao walifanya hivyo? au labda Kipindi chao Mlima Kilimanjaro haukuwepo na umeanza Kujitokeza wakati huu Mumewe Janet kuwa Rais wa Tanzania? Hivi dhamana ya kuwa Balozi wa Vivutio vya Kiutalii vya Tanzania ipo tu kwa Viongozi wa Tanzania na Wake zao pekee au ni Jukumu letu sote Watanzania wote bila kujali Hadhi yako, Elimu yako na mahala ulipo Kijiografia?
 
Back
Top Bottom