Public relations: Mama Janeth Magufuli anaweza kuwashawishi wake za Mabalozi nchini kutembelea vivutio vyetu vya utalii?

Kabla ya kumtaka Mama Janet Magufuli afanye hivyo unavyotaka Wewe je, huyo Mtangulizi wake Mama Salma Kikwete na wake wa Marais wengine waliopita Wao walifanya hivyo? au labda Kipindi chao Mlima Kilimanjaro haukuwepo na umeanza Kujitokeza wakati huu Mumewe Janet kuwa Rais wa Tanzania? Hivi dhamana ya kuwa Balozi wa Vivutio vya Kiutalii vya Tanzania ipo tu kwa Viongozi wa Tanzania na Wake zao pekee au ni Jukumu letu sote Watanzania wote bila kujali Hadhi yako, Elimu yako na mahala ulipo Kijiografia?
hatufanyi vitu kwa kucompare na wengine kiukweli mama yetu huyu anatakiwa afanye kitu kwa jamii maan ndiye mama mkuu kwa sasa na hadhi yk ni kubwa mno akifanya kitu kwa jamii msukumo wake unakuwa na nguvu tofauti na wewe mwenzangu na mimi hakuna mwenye habari na wewe...
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier (last born) nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu;

Mama Janeth Magufuli anaweza akawashawishi wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania aende nao kupanda Mlima Kilimanjaro au kutembelea Serengeti National Park?

Kama Naibu Spika Dr. Tulia ameweza kuwa Balozi mzuri katika kuitangaza vema Tanzania, mama yetu pia anaweza.

View attachment 1357305

View attachment 1357282

View attachment 1357283

Mama Salma Kikwete aliwaalika wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya Ikulu jijini Dar. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na mama Mwanamwema Shein na Mama Tunu Pinda. Hapa wakiwa wamepiga picha ya ukumbusho.
View attachment 1357287

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mkuuu nimependa Mada zako nyingi unekuwa na Maono yenye lengo la kukuza Utaliii wa Nchi yetu, inapendeza na kufurahisha kwa mtizamo wako. Endelea na maono hayo hayo wadau wanafanyiakazi sana mawazo mengi yanayolewa hapa Jamvini, achana na comments za kebehi na kukatisha tamaaa songambele tuuu.
 
Kwanza,Tufahamu kwanza kama yeye anataka kutembelea hivyo vivutio vya utalii kwa sababu sio kila mtu huwa ana interest hizo.
Pili,tufahamu kwanza kutembelea kwao kutaleta faida kiasi gani katika sekta,kwa maana ya idadi ya watalii na mapato,tupime kama tunaweza kupata watu wengine wanaoweza kufanya Marketing ya nguvu zaidi.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier (last born) nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu;

Mama Janeth Magufuli anaweza akawashawishi wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania aende nao kupanda Mlima Kilimanjaro au kutembelea Serengeti National Park?

Kama Naibu Spika Dr. Tulia ameweza kuwa Balozi mzuri katika kuitangaza vema Tanzania, mama yetu pia anaweza.

View attachment 1357305

View attachment 1357282

View attachment 1357283

Mama Salma Kikwete aliwaalika wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya Ikulu jijini Dar. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na mama Mwanamwema Shein na Mama Tunu Pinda. Hapa wakiwa wamepiga picha ya ukumbusho.
View attachment 1357287

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana WAMA ilipata msukumo zaidi kwa sababu alikuwa first lady ambalo ni jambo la heri pia.
Mnataka first ladies wafanane?Mwl.Salma alikuwa anakagua miradi ya maendeleo na kufokafoka. Siioni WAMA labda Kama ilikuwa na mkataba na awamu ya 4 tu au haikuwa na sustainability plan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier (last born) nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu;

Mama Janeth Magufuli anaweza akawashawishi wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania aende nao kupanda Mlima Kilimanjaro au kutembelea Serengeti National Park?

Kama Naibu Spika Dr. Tulia ameweza kuwa Balozi mzuri katika kuitangaza vema Tanzania, mama yetu pia anaweza.

View attachment 1357305

View attachment 1357282

View attachment 1357283

Mama Salma Kikwete aliwaalika wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya Ikulu jijini Dar. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na mama Mwanamwema Shein na Mama Tunu Pinda. Hapa wakiwa wamepiga picha ya ukumbusho.
View attachment 1357287

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Asisahau kukualika na wewe pia
 
Tusubiri ajaye ndugu zangu, kama ile ofisi tu ya pale pembeni ya kumfanya awe busy ilishafungwa unadhani kuna cha ziada hapo?
Hiyo ofisi inashughulika na nini haswa? Hadi kumfanya awe busy..
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier (last born) nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu;

Mama Janeth Magufuli anaweza akawashawishi wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania aende nao kupanda Mlima Kilimanjaro au kutembelea Serengeti National Park?

Kama Naibu Spika Dr. Tulia ameweza kuwa Balozi mzuri katika kuitangaza vema Tanzania, mama yetu pia anaweza.

View attachment 1357305

View attachment 1357282

View attachment 1357283

Mama Salma Kikwete aliwaalika wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya Ikulu jijini Dar. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na mama Mwanamwema Shein na Mama Tunu Pinda. Hapa wakiwa wamepiga picha ya ukumbusho.
View attachment 1357287

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Hizi pesa Salma Kikwete alizofuja kwenye shughuli kama hizi zimetunfaishaje sie wananchi? Zimeleta watalii wangapi? Nadhani wakati akifanya hizi sherehe waziri husika alikuwa akitorosha twiga wetu, kama nakmbuka vizuri.

Mama Janeth akianza kufanya hivi, Kigwangalla tutaendelea kumlipa mshahara kwa shughuli gani au tunamfuta kazi?
 
Acha upimbi ww first lady siyo cheo wala dhamana ni title kama title nyingine za mke wa mwenyekiti wa kijiji nk yule mama halipwi mshahara eti kwakuwa ni first lady so usitake kumpa majukumu anafanya vile passion yake inavyomuongoza wala usitake kumfananisha na yeyote je akina mama nyerere na mama ana mbona wao hawakufanya lolote halafu kaa ukijua mama kikwete ana passion ya uongozi yule
 
Kabla ya kumtaka Mama Janet Magufuli afanye hivyo unavyotaka Wewe je, huyo Mtangulizi wake Mama Salma Kikwete na wake wa Marais wengine waliopita Wao walifanya hivyo? au labda Kipindi chao Mlima Kilimanjaro haukuwepo na umeanza Kujitokeza wakati huu Mumewe Janet kuwa Rais wa Tanzania? Hivi dhamana ya kuwa Balozi wa Vivutio vya Kiutalii vya Tanzania ipo tu kwa Viongozi wa Tanzania na Wake zao pekee au ni Jukumu letu sote Watanzania wote bila kujali Hadhi yako, Elimu yako na mahala ulipo Kijiografia?
Ametoa kama wazo tu! sema mama mwenyewe sio waku-take advantage ya nafasi ya mumewe kama hao watangulizi! Anyway wewe kuchukua kundi lolote impact yake huenda ikawa nchini mwako tu. Ila kwa first lady kuchukua hilo kundi impact ni kubwa kifedha na hata kitaarifa.
 
Back
Top Bottom