Mama Janet Magufuli bado hajaanzisha taasisi kama mtangulizi wake?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Kwanza nimshukuru Mungu kwani Leo mama karuhusiwa toka hospitali ya taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa, sasa swali langu ni mama Ana taasisi gani anayoisimamia au aliyoianzisha hadi sasa?
 
Na ile ya wazee kila leo anamwaga mishaada na kuwaonya watao zila ela za wazee kukiona cha moto
 
Back
Top Bottom