real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Mama wa Irene Uwoya ameangua kilio kwa kufiwa na Ndikumana Hamadi Katauti na amesema ni mkwe wake kipenzi na alikuwa kama mwanawe na bado walikuwa wakiwasiliana na juzi alikuwa anawasiliana nae na kumwambia awe na subira na kuwa atavumilia yote ya dunia lakini atakuwa mwane mwanzo mwisho mapaka anaingia kaburini na kusisitiza alikuwa akimpenda sana