Mama Huyu Anatisha Kwa Ukatili

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Kuna matukio mengi ya kikatili yaliyotokea kwa akina mama kujaribu kuwaua watoto wao kwa njia mbalimbali lakini mama huyu wa nchini Marekani amefanya ukatili zaidi kwa kumuua kwa kumbanika kwenye Microwave mtoto wake mchanga wa mwezi mmoja eti kwakuwa mpenzi wake alikuwa haamini mtoto huyo ni wake.
China Arnold mwenye umri wa miaka 31 wa Ohio nchini Marekani amenusurika kuadhibiwa kunyongwa lakini amehukumiwa kutumikia maisha yake yote yaliyobakia jela bila ya kupewa nafasi yoyote ya kupata msamaha wa rais.

China alikuwa na mzozo na mpenzi wake ambaye alikuwa akihoji mtoto mchanga aliyezaliwa na China kama ni wa kwake kweli au mwanaume mwingine.

Mzozo huo ulipopamba moto China alimchukua mtoto huyo aliyekuwa na umri karibia mwezi mmoja na kumweka kwenye Microwave na kuiwasha kwa dakika zaidi ya mbili.

Waendesha mashtaka walisema kuwa kwa kukusudia kumuua mtoto huyo, China alimweka kwenye Microwave mtoto huyo mchanga wa siku 28 na alipoiwasha Microwave hiyo mtoto huyo alifariki kwa kuungua vibaya sana.

Ripoti ya madaktari ilisema kuwa mtoto huyo wa kike aliyepewa jina la Paris Talley alifariki ghafla baada ya joto la mwili wake lilipofikia kati ya nyuzi joto 43 Celcius.

"Alifariki kwasababu aliwekwa kwenye joto kubwa sana, alikuwa kama amebanikwa", alisema daktari mstaafu Dr. Marcella Fierro.

Akitoa hukumua ya kesi hiyo jaji wa kesi hiyo alimhukumu China kwenda jela maisha akisema kuwa ukatili alioufanya ni zaidi ya ukatili wa mtu aliyeua kwa risasi au kwa kutumia kisu.
5700134.jpg
 
kwa kweli siamini jamani duuuh this is the highest level of insanity,hasira hasara tena kubwa ambayo itakuwa hata ngumu kujisamehe, pili ni vizuri kufikiria jambo vizuri kabla ya kutenda, naamini angekaa tu dakika tano chini na kuwaza japo kidogo tu asingetenda hili
 
ningekuwa mimi ningemhukumu kuchinjwa kwa msumeno wa kupasulia magogo hadi aoze kabisa. yaani hata akifa, aendelee tu kuchinjwa hadi aoze na akishaoza tunakata na tunaifunga mikono na miguu yake kwa pingu na kumzika pamoja na rpc masawe na kiwiliwili chake tunakisaga kwa blender na kumimina juicy yake kwenye beach za afghanstann!!!!!!!!!

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaagrrrrrrrrr!!!! mi ningemtafuna mzimamzima!! shetani mkubwa huyu
 
Kuna matukio mengi ya kikatili yaliyotokea kwa akina mama kujaribu kuwaua watoto wao kwa njia mbalimbali lakini mama huyu wa nchini Marekani amefanya ukatili zaidi kwa kumuua kwa kumbanika kwenye Microwave mtoto wake mchanga wa mwezi mmoja eti kwakuwa mpenzi wake alikuwa haamini mtoto huyo ni wake.
China Arnold mwenye umri wa miaka 31 wa Ohio nchini Marekani amenusurika kuadhibiwa kunyongwa lakini amehukumiwa kutumikia maisha yake yote yaliyobakia jela bila ya kupewa nafasi yoyote ya kupata msamaha wa rais.

China alikuwa na mzozo na mpenzi wake ambaye alikuwa akihoji mtoto mchanga aliyezaliwa na China kama ni wa kwake kweli au mwanaume mwingine.

Mzozo huo ulipopamba moto China alimchukua mtoto huyo aliyekuwa na umri karibia mwezi mmoja na kumweka kwenye Microwave na kuiwasha kwa dakika zaidi ya mbili.

Waendesha mashtaka walisema kuwa kwa kukusudia kumuua mtoto huyo, China alimweka kwenye Microwave mtoto huyo mchanga wa siku 28 na alipoiwasha Microwave hiyo mtoto huyo alifariki kwa kuungua vibaya sana.

Ripoti ya madaktari ilisema kuwa mtoto huyo wa kike aliyepewa jina la Paris Talley alifariki ghafla baada ya joto la mwili wake lilipofikia kati ya nyuzi joto 43 Celcius.

"Alifariki kwasababu aliwekwa kwenye joto kubwa sana, alikuwa kama amebanikwa", alisema daktari mstaafu Dr. Marcella Fierro.

Akitoa hukumua ya kesi hiyo jaji wa kesi hiyo alimhukumu China kwenda jela maisha akisema kuwa ukatili alioufanya ni zaidi ya ukatili wa mtu aliyeua kwa risasi au kwa kutumia kisu.
View attachment 30619

Hivi huyu mtoto alikuwa na kosa gani jamani. Mungu atamhukumu huyu mama kwani aliyopata ni adhabu ya kibinadamu
 
ningekuwa mimi ningemhukumu kuchinjwa kwa msumeno wa kupasulia magogo hadi aoze kabisa. yaani hata akifa, aendelee tu kuchinjwa hadi aoze na akishaoza tunakata na tunaifunga mikono na miguu yake kwa pingu na kumzika pamoja na rpc masawe na kiwiliwili chake tunakisaga kwa blender na kumimina juicy yake kwenye beach za afghanstann!!!!!!!!!

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaagrrrrrrrrr!!!! mi ningemtafuna mzimamzima!! shetani mkubwa huyu
mkuu!¬
hahahahaaa!!
Massawe mkurya au Lisu Mbena!!
 
Dah hadi tumbo la uzazi limecheza, huu unyama sijawah kusikia, dunia inakaribia mwisho. Pumzika kwa aman little angel.
 
Huenda kweli huyo mtoto alikuwa wa Mwizi wa Wake za Watu. Maana huko ndiko kwenye kile kifaa kinaitwa DNA angeweza kupima, halafu akamchukulia mume wake hatua ya kumdhalilisha. Lakini bado sio uamuzi mzuri wa kuua kiumbe kisichokuwa na hatia.
 
Back
Top Bottom