MAMA GHARIB BILALI, nini majukumu yake hapo! picha

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,815
2,814
7.jpg
 
Ungeuliza nini majukumu ya mchepuko wa slaa kwenye ofisi ya chadema makao makuu naye lazimisha kulipwa ningekuelewa Sana
 
Hizo sio mbegu za mchicha za kichina sasa mzee hazijui vzr sasa mama anatoa darasa.
 
Ooyooo hapo anaonishwa karafu ya kwamba nao pia wanalima na kwao zao hilo lepo juu na huko kwenu zao hilo limekufa na halina thamani na kwa sasa mnategemiea uchumi wenu wa omba omba kwa mataifa ya nje na huku mnadai mapinduzi daima kumbe ni ulofa wa kisiasa ulotujaa basi
 
Back
Top Bottom