Mama Dogo Janja kuishi kwenye nyumba ya kupanga hii si ajabu


njujujr

njujujr

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2017
Messages
505
Likes
264
Points
80
njujujr

njujujr

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2017
505 264 80
Dogo janja kazaliwa 1993 ww na midevu yako unashangaa dogojanja kujenga leo kweli kwa umri alio nao wakuuliza swali la kijinga hivyo unahisi ukiwa msanii unakiwa na hela za kujenga muda wowote unahisi kujenga ushuzi muulize pr jay ilimchukua miaka mingapi kukamilisha nyumba yake ya kwanza.Nahamia kwako ww umemjengea mama yako au unapiga kelele kwa wenzako tu?
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
6,376
Likes
6,251
Points
280
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
6,376 6,251 280
Mungu uwapa heri wale wenye kuwasitiri wazazi wao kwa kuwajenga makazi hakika baraka ziko juu yake,wengi wetu tofali za nyumba za wazazi wetu zimeishia kwenye pombe na kuhonga uku mijini wakati wazee wetu wanahangaika kila kukicha.
 
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
13,967
Likes
5,733
Points
280
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
13,967 5,733 280
Yani watu wana akili za kingese, sasa mnadhan wanamuzik wana pesa gani za kujenga? Dogo janja hapo kajitahid sana na sio kwa pesa zake , pesa za hao wanaomdhamini , all in all kajitahid sana .
 
kibol

kibol

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Messages
3,995
Likes
1,331
Points
280
Age
57
kibol

kibol

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2012
3,995 1,331 280
Masuala ya ni gharama gani zimetumika sio hoja sana wala halina umuhimu hapa, hoja ya msingi ni kukumbuka nyumbani, ata marehemu Masogange nae alimjengea baba yake nyumba, wasanii wote hawa nawapongeza, wengine wanajenga viota vyao kwenye papuchi za madada poa wa mjini wakati wazazi wao wanalalia mbavu za mbwa.
 
M

mashakani

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2018
Messages
352
Likes
424
Points
80
M

mashakani

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2018
352 424 80
Yani watu wana akili za kingese, sasa mnadhan wanamuzik wana pesa gani za kujenga? Dogo janja hapo kajitahid sana na sio kwa pesa zake , pesa za hao wanaomdhamini , all in all kajitahid sana .
Tatizo ni style ya maisha wanayoishi hao wanaojiita wanamuziki/wasanii
 
johannes255

johannes255

Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
18
Likes
4
Points
5
johannes255

johannes255

Member
Joined Dec 6, 2018
18 4 5
Huwezi amini kwa kipindi chote cha ustaa wa dogo janja alishindwa kumjengea nyumba mama yake
Mpaka Siku ya jana ndio amefanikiwa kumtoa mama yake kwenye aibu ya ukubwani ya kuishi kwenye nyumba ya kupanga
Swali kwanini dogo janja amechelewa kumjengea mama yake?

si watajenga tu
 
P

Polebashi

Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
24
Likes
13
Points
5
P

Polebashi

Member
Joined Dec 6, 2018
24 13 5
Huwezi amini kwa kipindi chote cha ustaa wa dogo janja alishindwa kumjengea nyumba mama yake
Mpaka Siku ya jana ndio amefanikiwa kumtoa mama yake kwenye aibu ya ukubwani ya kuishi kwenye nyumba ya kupanga
Swali kwanini dogo janja amechelewa kumjengea mama yake?

Watu mko na umbea Sana kama keshajenga mnakosoa tena?
 
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
7,566
Likes
8,737
Points
280
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
7,566 8,737 280
Ujawahi kujenga, msingi wa 3 bed room house haupungui 4m... Msingi Tu... How can this house be Chini ya 9m, haiwezi pungua 20m.

Arusha hii yetu kila kitu unanunua heavily.. hapana mchezo hapa!
Mkuu masihara tuu

Sory lakin kama nmekukera
 

Forum statistics

Threads 1,235,540
Members 474,641
Posts 29,226,072