Mama Dogo Janja kuishi kwenye nyumba ya kupanga hii si ajabu


TOEDSLOTH

TOEDSLOTH

Senior Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
198
Likes
280
Points
80
TOEDSLOTH

TOEDSLOTH

Senior Member
Joined Nov 3, 2018
198 280 80
Arusha kuna bangi kali mno milioni nane inaweza ikabadilishwa jina na kua milioni Mia nane, Dongo hongera kwa kumjengea mama yako sehem ya kujistiri, japo kwangu mimi ambae nimeshagharamia ujenzi nyingi iyo nyumba ya bi mkubwa wako thamani yake ni milioni12 kama ina vigae chini na jipsum pmja na aluminium
 
talentboy

talentboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
1,773
Likes
1,393
Points
280
talentboy

talentboy

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
1,773 1,393 280
kikubwa apongezwe...naona watu mnamshambulia dogo janja kuhusu hiyo mil. 800 kitu ambacho yeye binafsi hakuwahi kusema popote pale na alipoulizwa juu ya gharama za hiyo nyumba alikataa kutaja...hiyo mil. 800 ni maneno ya waandishi tu na sio ya dogojanja....kiufupi hata kama kajenga kwa laki moja haijalishi mradi tumeona jitihada zake na mama ake amestirika bila stress now...maashallah mimi tu na umri wangu huu hata banda langu binafsi sijalimiliki sikwambii kumjengea bimdashi...na tena nashukuru Mungu kanijaalia kupata elimu kdg lkn mpk sasa bado haijanikomboa kufikia level za maendeleo ya huyo dogo.
 
Goldman

Goldman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Messages
1,442
Likes
1,201
Points
280
Goldman

Goldman

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2010
1,442 1,201 280
Huyo unayemsema kwa kichambo week hii kaenda shule aliyosoma kuanzia darasa la kwanza hadi la saba anapiga bati nyingine na pia anaweka rangi shule yote.
 
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
5,148
Likes
2,592
Points
280
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined Aug 12, 2011
5,148 2,592 280
1.Kwanza jiulize ana miaka mingapi?,

2.Marehemu baba yake alikwama wapi kumjengea mkewe nyumba?

3. Wewe umejenga ukiwa na umri gani?

Sometimes tujifunze ku appreciate juhudi za mtu.
Kuna watu wanaponda wakati wao wenyewe wanaishi nyumba za kupanga, sembuse kuwajengea wazazi wao...
 
bahati30

bahati30

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
1,554
Likes
673
Points
280
bahati30

bahati30

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
1,554 673 280
Sijui kama unamchafua au nini dogi janja amejiahid sana kumjengea mama yake Nyumba sana tena wapo wengi walishindwa kafanya HVO muulize idrisa sultan alijenga au alijenga kwa papuchi ya wema
Duh, hatare sana sijui hata ile papuchi INA nini walah!
 

Forum statistics

Threads 1,235,544
Members 474,641
Posts 29,226,153