Mama Dogo Janja kuishi kwenye nyumba ya kupanga hii si ajabu


Jimmie Gatsby

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
2,290
Likes
4,036
Points
280
Jimmie Gatsby

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
2,290 4,036 280
dogo kazaliwa 1994 kwa sasa ana miaka 24

anahitaji pongezi sana kwa kumjengea mama ake akiwa katika umri huo

mleta mada ukiwa na miaka 24 usikute ulikuwa bado upo kwenu unalipiwa ada unalala bure na kula bure kwa baba/mama ako
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
30,504
Likes
17,328
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
30,504 17,328 280
Watu wengine wajinga sana utakuta yeye hata nyumba ya kwake hana, anasema eti jana ndo mama yake katoka kwenye nyumba ya kupanga, kwani ina maana hiyo nyumba kaijenga jana? Kujenga ni hatua.
Syo nyumba tu hata kuwanunulia chup wazazi wake hajawahi

Ova
 
TopUp

TopUp

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
1,140
Likes
774
Points
280
TopUp

TopUp

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
1,140 774 280
Huwezi amini kwa kipindi chote cha ustaa wa dogo janja alishindwa kumjengea nyumba mama yake
Mpaka Siku ya jana ndio amefanikiwa kumtoa mama yake kwenye aibu ya ukubwani ya kuishi kwenye nyumba ya kupanga
Swali kwanini dogo janja amechelewa kumjengea mama yake?

Aisee dogo kafanya jambo zuri sana
Ila wewe utakua na chuki binafsi
 

Forum statistics

Threads 1,235,536
Members 474,641
Posts 29,226,002