Mama Dogo Janja kuishi kwenye nyumba ya kupanga hii si ajabu

Ndunguli

Ndunguli

Member
Joined
Oct 21, 2018
Messages
42
Likes
83
Points
25
Ndunguli

Ndunguli

Member
Joined Oct 21, 2018
42 83 25
Huwezi amini kwa kipindi chote cha ustaa wa dogo janja alishindwa kumjengea nyumba mama yake
Mpaka Siku ya jana ndio amefanikiwa kumtoa mama yake kwenye aibu ya ukubwani ya kuishi kwenye nyumba ya kupanga
Swali kwanini dogo janja amechelewa kumjengea mama yake?

Zero IQ

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
6,657
Likes
9,172
Points
280
Zero IQ

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
6,657 9,172 280
Huwezi amini kwa kipindi chote cha ustaa wa dogo janja alishindwa kumjengea nyumba mama yake
Mpaka Siku ya jana ndio amefanikiwa kumtoa mama yake kwenye aibu ya ukubwani ya kuishi kwenye nyumba ya kupanga
Swali kwanini dogo janja amechelewa kumjengea mama yake?

Hicho kinyumba hapo kwenye picha ndio milioni 800 acheni basi ata kama shilingi haina dhamani msiizalilishe hivyo aiseeeeee.
 
J

jay 2016

Senior Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
118
Likes
184
Points
60
J

jay 2016

Senior Member
Joined Nov 5, 2018
118 184 60
Huwezi amini kwa kipindi chote cha ustaa wa dogo janja alishindwa kumjengea nyumba mama yake
Mpaka Siku ya jana ndio amefanikiwa kumtoa mama yake kwenye aibu ya ukubwani ya kuishi kwenye nyumba ya kupanga
Swali kwanini dogo janja amechelewa kumjengea mama yake?

wewe ulimjengea mama ako ukiwa na miaka mingapi?
 
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Messages
1,590
Likes
1,322
Points
280
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2016
1,590 1,322 280
Hicho kinyumba hapo kwenye picha ndio milioni 800 acheni basi ata kama shilingi haina dhamani msiizalilishe hivyo aiseeeeee.
kama ndio milioni 800 fiesta uwa anakwenda kufanya nini .hiyo ni nyumba kituo cha mabatini polisi
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
8,510
Likes
9,817
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
8,510 9,817 280

Ndio Mkuu tena hapo bado furnitures zilizopo ndani ambazo zinathamani karibu ya 200ml
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
8,510
Likes
9,817
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
8,510 9,817 280
kama ndio milioni 800 fiesta uwa anakwenda kufanya nini .hiyo ni nyumba kituo cha mabatini polisi
Materials yaliyotumika kujenga hiyo nyumba yametoka Uturuki na yamenunuliwa kwa Dolari na kama unavyojua Dola imepanda sana thamani,kwa hiyo ni kweli kabisa.
 
Forum statistics

Threads 1,235,541
Members 474,641
Posts 29,226,090