Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,895
- 1,608
Huyo ni baba mzazi wa diamond?
kuna mtu wa karibu aliniambia Diamond anamlipia huyu Ben 10 wa mama yake pesa ya mawakili kwenye moja ya kesi ya utapeli inayomkabili hapo Kisutu,Hii couple naona aibu Mimi ...
Sijui Diamond huko yeye anaonaje aisee
Ndio tena diamond ni mtoto wa tatu kwa huyo mzee shamteHuyo ni baba mzazi wa diamond?
Hapana.diamond hawezi kufanya chochote.huyo NI mama yake.Hii couple naona aibu Mimi ...
Sijui Diamond huko yeye anaonaje aisee
Tooooba Roho yangu🤦♀️Chalii hana shida kabisa na Babake huyu.. Maana hata Baba Mzazi hana uhakika ni yupi haswa
Ndio tena diamond ni mtoto wa tatu kwa huyo mzee shamte
ila babuuh wee.Kupatwa kwa mahaba...
Hakika kabisaa yaan
Pele limepata mkunaji
muongo weeBado nakusubiria inbobo
Nadhani ni wakristo wanaomfuata udini Nasib Abdul kwakua ndio icon ya ukooila majina ya waandamizi wa WCB hayaendani na dini zao,ni AKA ama nini!!
ricardo momo.
rommy jones
rally jones
sandra michael
Nadhani ni wakristo wanaomfuata udini Nasib Abdul kwakua ndio icon ya ukoo
PembaHivi uncle shamte ni mwenyeji wa mkoa gani?
Maana anatia aibu sana
Hatuoani ili tuachane tunaona ili tuishi daima.Mama Dangote ambaye ni mama ya staa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na mume wake Rally Jones almaarufu kama Uncle Shamte wamepuuzilia mbali madai kuwa ndoa yao imesambaratika.
Pemba