Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

kuna kuna picha mtandaoni huyo mama kapost ana kimimba,ameandika alikuwa club ya mbowe😅😅😅.

sasa swali linakuja,mtu una mimba unaendaje club!!!
🤣 🤣 🤣 🤣 noma sana
 
Hilo la kutokuwa baba yake linaweza kuwa sawa ila swali langu ni moja. Iwapo chamzo cha hizi hoja zote ni kile kinachodaiwa mzee Abdul kushindwa majukumu yake kama mzazi, ilikuwaje bado jina la baba mzazi likasahaulika ilhali aliyetegemewa kulea alishindwa? Huyo baba mzazi (baba wa momo) ilikuwaje wakatengana na huyu mwanamke (mama diamond). Isijekuwa vinaoteshwa vichaka vingi bila kuangalia kuwa miti inayotumika ni ya miiba na pindi muda utakapofika wa kujificha ikawachoma walioipanda.
 
Kuna masheikh ambayo tayari wamejiingiza kwenye hili sakata!!??
Yupo shehe kalisemea ila yeye amegusa kuwa kama hakuna ndoa ila akaungaunga kuhusu haki ya baba mama na mtoto katika dini akijaribu kubanisha banisha ,na mwenngine kajivalisha na kutoa darasa kuhusiana na huyo mwaname mwanamke na mtoto.

Lakini nasema kwa mapana na marefu hawa walikuwa wazinifu na kwepakwepa Mungu kawalani wametiana Mimba na kama hata mimba sio ya huyu Abduli iwe ya huyo mwengine bado uzinifu upo pale pale na anavyohadithia Abduli utaona anakiri wazi wazi kuwa wakiishi tu kinyumba wakisitiriana ,inavyoonyesha Abduli alikuwa mficha uchi na hapo utaona ule msemo wa mficha uchi hazai,Abduli alificha siri ya Sanura (kiswahili maana yake paka kizungu Cat kialabu ndio Sanura).kama tu alikuwa anajua kuwa mimba ya mwengine,sasa ila kama ana uhakika ni yake basi yeye na sanura wahudhurie msikiti wa Ijumaa ili wapigwe mawe mpaka wakate roho.
 
Yupo shehe kalisemea ila yeye amegusa kuwa kama hakuna ndoa ila akaungaunga kuhusu haki ya baba mama na mtoto katika dini akijaribu kubanisha banisha ,na mwenngine kajivalisha na kutoa darasa kuhusiana na huyo mwaname mwanamke na mtoto....
Sheikh njaa huyo
 
Hivi wakiitwa waislam.. Mama Dangote atatoka?
Ndugu zangu Waislamu na wale wasiokuwa waislamu au na hata wale vingunge.

Kuna hili jambo linaloendelea katika mitandao kuhusiana na kijana aliejulikana kama Naseeb Abduli ai Diamond Platinum ,whatever ! Hili fukuto linanasibishwa na Uislamu na baadhi ya ndugu zetu wajiitao Mashehe wameingia au kuvutwa katika kutolea hoja jambo hilo...
Hili sakata halipo kidini ya kislam. Hamna sheikh yoyote wa Dini ya Kiislam atakaeweza kuwatetea hawa ma "Saanluq" wa kibongo. Kwanza hukumu na miongozo ya dini ya kislam ipo wazi. Mtoto aliezaliwa nje ya ndoa ni mtoto wa mama na anatakiwa kurithi kwa mama sio kwa baba. . Kwa mitizamo yangu binafsi hili sakata limetokea wakati pande zote mbili za famillia hizi hazina maarifa ya udini (wislam na ukristo) Famillia hizi mbili zinapigana kwa ajli ya utajiri uliofika "ghafla".

Famillia hizi mbili zimejaaliwa kupata mtoto aliezaliwa nje ya ndoa "Mwanakharamu". Mtoto amekua na bado hizi famillia mbili hazijaweza kurekebisha makosa yao ya nyuma. Wameendelea kuenshi na ulevi wa "Dunia". Je leo sote tupo mashahidi ule Mtoto Mwanakharamu anaendelea kuzaa watoto wanagharamu... Laana ni kitu kibaya na tayari kimeshakumba familli hizi mbili sio rahisi kujinasua kienyeji kwa kua Famillia hizi mbili na mtoto wao yote hawapo ktk dini inaotambulika na hawapo ktk miila na desturi tunazofwata. Wapo ktk makundi ya "hayawani".

ngekua familli hizi mbili na mtoto wao maarufu wangejua umuhimu wa "hekima" au thamani ya "utu"na "heshima" wange jifungia ndani na kuyamaliza bila kujivua nguo hadharani. Jeuri ya Pexa zao haziwezi kurudisha "heshima" waliopoteza mbele ya jamii na ulimwengu... Kwa sisi wengine tujiepushe kuiga ujinga kama huu... "Dunia tunapita... Tunatakiwa kujishucha ili kuenshi vyema na jamii inaotuzunguka..... Jeuri ya pexa isitudaganye na kuona wengine ni vifaranga vya siku.... "
 
Dini inasemaje kuhusu Anko? Yeye atarithi mali ya Nani?
 
Umaskini kitu kibaya sana! Fikiria Mzee Abdul angekuwa bilionea.... mambo kama haya yasingesikika! Fikiria Diamond angekuwa hohehahe... haya yangebaki moyoni mwa Sandra! Tupigeni kazi wandugu tutafute pesa nasi tutayasikia ya kwetu!!!!
 
1611055019656.png

Abdul alimpeleka mtoto hospitali wakati Nyange anakula bata.
 
Huyo mama ni wale wasichana wahuni wa mbowe club zamani.

Juzi ametupia picha akiwa na mimba ya miezi 9 lakini yupo mbowe club..anaruka majoka.

Yaani ni ajabu na kweli.

Huyo Mzee Abdul alionekana katelekeza family,

Kumbe alikimbia kibomu cha machozi.

Hyo mama hakuwa mwanamke wa kuishi na mwanaume yeyote yule, ndy maana hata hyo Asma baba yake pia hajulikani.

View attachment 1680893
Huyu alikuwa balaa
Kaishi thug life sana ndomana
Sahv kupata hela amekuwa akiishi kwa malipizo

Pesa imekosea njia

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mzee Hana hamu. Mtaji wa viatu vya kulenga nao ukute karibu unakata.
**Bora angeongea na Anko kuliko Mama la Mama.
 
Mtoto wa nje ya ndoa kwa uislam anarithiwa na mama na ndugu zake wa mama mmoja, waliobakia mpaka aache usia
 
Mtoto wa nje ya ndoa kwa uislam anarithiwa na mama na ndugu zake wa mama mmoja, waliobakia mpaka aache usia
 
Back
Top Bottom