Mama BIG kiboko ya wanawake mavuvuzela

Mama Big

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
488
7
Wana GF wenzangu naona wengine wanaguswa sana na kuna nina mume wa mtu...kama mkewe hajafundwa akafundika anashindwa kumkabali mumewe mi hainihuu...akimpulizia vuvuzela mi namziba masikio...Nawatangazia wazi mama big kiboko ya mavuvuzela na waunaume hao wake zenu wakianza tu kelele njoo mi naziba sikio moja kwa ulimi na lapili kwa kidole
 
Acha kututishia mama Big jamani!
 
ha ha ha ha!
unatisha sana weye!

naomba namba zako tafadhali
 
Wana GF wenzangu naona wengine wanaguswa sana na kuna nina mume wa mtu...kama mkewe hajafundwa akafundika anashindwa kumkabali mumewe mi hainihuu...akimpulizia vuvuzela mi namziba masikio...Nawatangazia wazi mama big kiboko ya mavuvuzela na waunaume hao wake zenu wakianza tu kelele njoo mi naziba sikio moja kwa ulimi na lapili kwa kidole
Orait, umesomeka.
Eeka Mangi anakutafuta umtoe stress za uvuvuzela!
 
WelcomeBack1-1.gif
 
..Nawatangazia wazi mama big kiboko ya mavuvuzela na waunaume hao wake zenu wakianza tu kelele njoo mi naziba sikio moja kwa ulimi na lapili kwa kidole

Mama Big bana umempata mwanaume mwenyewe mchovu basi unapiga mayowe weeeeee nakujiona wewe mjanja uje huku tukupe raha ya tope
 
MAMA BIGY is REBUKING THE DEVIL'S WORK!..........:smile:
 
Wana GF wenzangu naona wengine wanaguswa sana na kuna nina mume wa mtu...kama mkewe hajafundwa akafundika anashindwa kumkabali mumewe mi hainihuu...akimpulizia vuvuzela mi namziba masikio...Nawatangazia wazi mama big kiboko ya mavuvuzela na waunaume hao wake zenu wakianza tu kelele njoo mi naziba sikio moja kwa ulimi na lapili kwa kidole

Orait orait noted nipe huduma nikupe harufu, nipe harufu nikupe huduma
 
mh mama bg jaman.dah! so unamanisha bgrita pia mkewe ni vuvuzela ndo mana aka...kwako?
na finest pia gf wake ni vuvuzela?
we mama wewe asi ulisema upo tyt na mitng leo jaman?au umegairi kdg umerud mjin?
saa SJUI NIMUULIZE BGRITA AU DIG DIG FINEST ndo atajua km umerud ama lahh ...manake jana mashauzi yalikuwa meng ...j5 naenda kumpokea mama airpot ...nilimsndkza mama.....!!!!
 
Nimeomba na matarumbeta na escort hizi siku tatu nilizomkosa nahisi nimepungua mwili yale mahanjam
 
mumer wa mtu ni sumu..
usijaribu chombezaaaaaaa
yatakuja yakukute
usiyoyategemea....
WAUME ZA WATU HAWAFAI BIBI WEWE ATAKUGEUZA TAMBALA LA KUSAFISHA MIGUU WAKAT ANAJITAYARISHA KWENDA KUPUMZKA KWA MAMA!!!!
..wanasemaga nje just for apetite n ndani kwa kula kabisa...sasa wewe unakubali kuwa kajikachumbari ka watu?
manake ukiwa nae unamtia hamu afu uyoooo kwa mkewe anaenda kufanya the nidful...yan wewe unakuwa km unamtia kasi ..unanoa panga akienda kwa mkewe ooh my goooood full kukata......ACHANA NA IO MAMBO MAMA
MUNGU APEND..
--waache wapigien mavuvuzela mwsho wa siku wanasikilizana ao hakuna kelel wala nini!!!!!
msalimie mkurugenz wako bas!!!!!!
 
mh mama bg jaman.dah! so unamanisha bgrita pia mkewe ni vuvuzela ndo mana aka...kwako?
na finest pia gf wake ni vuvuzela?
we mama wewe asi ulisema upo tyt na mitng leo jaman?au umegairi kdg umerud mjin?
saa SJUI NIMUULIZE BGRITA AU DIG DIG FINEST ndo atajua km umerud ama lahh ...manake jana mashauzi yalikuwa meng ...j5 naenda kumpokea mama airpot ...nilimsndkza mama.....!!!!

Hivi jana umeona watu walivyokuwa wananiua halafu kwenye simu wanageuza kibao tena
 
mh mama bg jaman.dah! so unamanisha bgrita pia mkewe ni vuvuzela ndo mana aka...kwako?
na finest pia gf wake ni vuvuzela?
we mama wewe asi ulisema upo tyt na mitng leo jaman?au umegairi kdg umerud mjin?
saa SJUI NIMUULIZE BGRITA AU DIG DIG FINEST ndo atajua km umerud ama lahh ...manake jana mashauzi yalikuwa meng ...j5 naenda kumpokea mama airpot ...nilimsndkza mama.....!!!!
hahahaha!
mi nadhan huyo digidigi ndo angeulizwa!....
inaonekana ana data zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom