Mama azimia akifuatilia mafao yake NSSF Kinondoni Regional office | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama azimia akifuatilia mafao yake NSSF Kinondoni Regional office

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchekechoni, Jan 14, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mama mmoja wa makamo amezimia mchana huu katika ofisi za NSSF zilizoko Ubungo, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa karibu na mama huyo kabla hajakutana na dhahama hiyo, ni kwamba amekuwa akifuatilia mafao yake stahiki tangu mwezi November 2010, na amekuwa akipigwa tarehe kila mara. Kwa hivi sasa amepatiwa huduma ya kwanza na baadae akabebwa kupelekwa katika ofisi mojawapo yenye kiyoyozi, pengine kusubiri cheki yake itoke kama emergency ili kumuepusha na maafa zaidi. Wito kwa NSSF wapunguze ukiritimba, ni vema kumpa mtu tarehe ya uhakika ya kuchukua cheki yake kuliko utaratibu wao wa kupiga watu tarehe bila mpangilio, pia wajitahidi kuepusha muda wa watu kupotea bure na gharama za nauli kila mara. Kinachosikitisha zaidi ni kuwa, kila tarehe unayopewa utatumia masaa manne na zaidi kusubiri jina lako, na ukiitwa unapigwa tarehe nyingine. Mmm.....they're somehow stupid in wasting peoples' time and money. NSSF must change for the best!
   
 2. doup

  doup JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  hivi hakuna utaratibu wa kuweza kuwafungulia mashatka ya madai kwa usumbufu huu, wakiwa na kese kama elfu hamsini hivi zitawapotezea muda na wao ndio watajua umuhimu wa muda
   
 3. beatrixmgittu

  beatrixmgittu Senior Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa NSSF inabidi wabadilike sana hata hili linahitaji wawekezaji????UFISADI TUUU.
   
Loading...