Mama aunguza mwanawe mikono kwa kuiba sh 200!

Huyo mama ana pepo
Shetani akishindwa kazi katika roho huvaa mwili na kufanya kazi kama mwanadamu, na ndiyo maana sasa, mwanadamu hutakiwa kuwa na NENO la Mungu ndani ya moyo ili shetani na pepo wasiweze kuutumia mwili wake kufanya uharibifu.

utagundua kuwa kwa akili ya kawaida mwanamke aliyejifungua kwa uchungu na kunusuru sehemu za mwili wake ili mwana apite hawezi kumfanyia mwanaye huyo kitendo kama hicho,
hapo ni ukweli usiyopingika kuwa aliingiwa na roho wachafu. Asante Askofu
 
kwa watu wanaoishi kwa chini ya dola moja kwa siku...200 is alot..! tho i dont support barbarism...lets put ourselves in the shoes of these ladies and see how much 200 is worth in there lives...!

pole mtoto..! blame sisiem for the hardship
 
huyo mama hana utu hata kidogo.huyo ni mwanae wa kuzaa angekuwa wa mtu mwingine si angeua kabisa?/
 
Shetani akishindwa kazi katika roho huvaa mwili na kufanya kazi kama mwanadamu, na ndiyo maana sasa, mwanadamu hutakiwa kuwa na NENO la Mungu ndani ya moyo ili shetani na pepo wasiweze kuutumia mwili wake kufanya uharibifu.

utagundua kuwa kwa akili ya kawaida mwanamke aliyejifungua kwa uchungu na kunusuru sehemu za mwili wake ili mwana apite hawezi kumfanyia mwanaye huyo kitendo kama hicho,
hapo ni ukweli usiyopingika kuwa aliingiwa na roho wachafu. Asante Askofu

AO, inawezekana huyu mama hata haamini kama kuna Mungu, lakini ukiachilia hilo... sidhani kama binadamu na utashi wake unaweza kufikia hii hatua, sa hapa unafundisha au unajenga chuki... Too sad... Kazi za shetani
 
Askofu,
sijakupata gumu ni lipi hapo na ambalo kwako limekuwa tata kiasi kwamba usijue najenga chuki ama kufundisha, hebu jaribu kuspesifayi kidogo
 
AO, namaanisha kwamba... Mzazi kutoa adhabu kali kwa mtoto (kama hivyo, kumuunguza mikono), anakuwa anamfundisha au anajenga chuki kati yake na mtoto... maana huyu mtoto akishaungua mikono atakuwa kilema, unadhani ataweza kumsamehe huyu mzazi kweli?

Ndo nilichomaanisha
 
wewe ni Askofu,
nimekupata, unajua kwa akili za kipepo, na za kibinadamu nje ya hekima za Mungu ataona kama anamfundisha, lakini ukweli ni kumpa mtoto kilema kwenye hekalu la mwili wake
 
Back
Top Bottom