Mama asinzia kulala na kukoroma kanisani kwenye ibada ya asub uhi krismasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama asinzia kulala na kukoroma kanisani kwenye ibada ya asub uhi krismasi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by SHIEKA, Dec 26, 2011.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Asubuhi mapema siku ya krismas baba na mama wakaingia kanisani kwa ibada ya Krismas. Hawa wawili wakakaa kwenye kiti kirefu mama akiwa kushoto kwa mumewe.Mahubiri yalipoanza, baba kapepesa jicho lake la kushoto na akamwona mama anaaanza kusinzia.Mahubiri yakapamba moto. Kidogo baba kasikia mama anakoroma. Kuondoa aibu ya mkewe kukoroma katikati ya mahubiri baba akatumia mkono wake wa kushoto kutikisa bega la mkewe kumwamsha. Hapo ikawa balaa. Mama aligutuka kidogo kisha kwa sauti kali ya kulalamika akasema:"Wee ondoa ujinga wako hapa. Jana nilikupa leo wataka tena?Halafu kila ukifanya unaniumizaga.Ishia zako bana!"
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  L:lol:L
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nadhani waumini walifikiri maneno hayo anaambiwa Mchungaji.
   
 4. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ????????????????
   
 5. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mwendo wa gric
   
 6. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Waumini sasa 'hawa vipi'
   
 7. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Vipi chifu! Maswali mengi mpaka yameunda miguu ya jongoo! Ni kwamba punchline ya joke hujaiona?
   
Loading...