Mama Anna Tibaijuka atangaza kutogombea tena ubunge, asema nchi ilikuwa inasubiri kiongozi na sio Rais

tuwe na uzi maalum ya wengine watakaong'atuka ili vijana tujipange na tujue ni wapi na wapi. Maana kuendelea kukaa mijini nako vyuma vimekaza. Bora tukagombee tu katika maeneo yetu. Naamini nitakuwa mbunge soon kupitia UKAWA.
 
Bora!

Kwani hata jimboni alipita kwa mbinde,zile pesa alizogawa kwa mgombea wa CHADEMA mpaka akauachia ubunge nadhani zitakuwa zinamuuma sasa!

Nmeikumbuka ile migomba na mihogo aliyofyekewa na kung'olewa na makamanda shambani mwa mgombea baada ya kuuza jimbo itakuwa imemchoma kumoyo.

Huyu mama apumzike,wana Muleba wapumue!
 
Bora!

Kwani hata jimboni alipita kwa mbinde,zile pesa alizogawa kwa mgombea wa CHADEMA mpaka akauachia ubunge nadhani zitakuwa zinamuuma sasa!

Nadhani ile migomba na mihogo aliyofyekewa na kung'olewa na makamanda shambani mwa mgombea baada ya kuuza jimbo itakuwa imemchoma kumoyo.

Huyu mama apumzike,wana Muleba wapumue!
APUMZIKE KWA KWELI. Akichelewa atamaliza vibaya maana kutoka UN HABITAT hadi ubunge! Alitakuwa kuwa Balozi sehemu amepumzika. Tatizo akaendelea na siasa za Escrow
 
Pohamba

Nimeupenda utaratibu wenu wa sasa hasa wa kupata wa viongozi katika uchaguzi wenu wa ndani na pia utasaidia kuwapata wagombea wa wenyeviti mwaka 2019 na udiwani na ubunge mwaka 2020.

Umesaidia kupunguza rushwa na tena hata wasiyo na majina wameweza kushinda uchaguzi huu ndani.

Uchuchaji wake kwa kiasi kikubwa umeleta usawa,tija na haki

Changamoto zipo,ila kwa asilimia kubwa mmejitahidi.
 
Ni mama alilyewakilisa kada ya wasomi. Tutamkumbuka kwa mradi viwanja elfu 20
Dar na shule alizojenga kuelimisha watoto. Pia atakumbukwa kwa swala la Tsh. 10m kuwa ela ya mboga. KILA LA HERI.
 
Huyu mbunge kwa sasa ameshamuandaa kijana wake atakaye chukua mikoba yake, ni mkuu wa shule kati ya shule za huyo mama, tunafahamu mbinu na nguvu ya hela aliyopanga kuitumia kuhakikisha jimbo linabaki kwa ndugu, Prof. Atambue kuwa CCM ya ssa nitofauti na ya zama zile za uswahiba na undugu.
 
Hawezi kupitishwa na Magu visasi.....Escrow kesi iko mezani then ampitishe weeee hata Chenge asahau.....Ngeleja asahau.....na wengine.....visasi kazini
 
Akibadilisha nia ma-Lumumba yatashangilia tena!! Hayana yanachosimamia!!
 
Mbunge wa Muleba Kusini, Prof. Anna Tibaijuka akihojiwa wakati wa ziara ya Rais Magufuli kiwanda cha sukari Kagera, amesema hii itakuwa awamu yake ya mwisho kugombea ubunge na anang'atuka Kama msemo wa Mwalimu Nyerere.

Amesema ataendelea kuwepo kwenye jamii lakini ni wakati wa kuwaachia vijana.
Hivi yeye yale mabilioni ya mgao toka kwa Ruge yeye hajayarudisha?Kweli msumeno wa siasa unakataga tu upande mmoja!
Ila siku akitoa tu mguu nje,makaburi yote yanafukuliwa!
 
Usiwaamini sana wanasiasa, hakawii kupiga U-TURN kwa kisingizio chochote, hapo anataka kuwashusha watu presha
 
mama wa vijisent vya mboga amesoma alama za nyakati zilivyo.... bado Chenge na Nimrod mkono....
 
Back
Top Bottom