Mama Anna Tibaijuka atangaza kutogombea tena ubunge, asema nchi ilikuwa inasubiri kiongozi na sio Rais


Replica

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
323
Likes
1,154
Points
180
Replica

Replica

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
323 1,154 180
Mbunge wa Muleba Kusini, Prof. Anna Tibaijuka akihojiwa wakati wa ziara ya Rais Magufuli kiwanda cha sukari Kagera, amesema hii itakuwa awamu yake ya mwisho kugombea ubunge na anang'atuka Kama msemo wa Mwalimu Nyerere.

Amesema ataendelea kuwepo kwenye jamii lakini ni wakati wa kuwapa nafasi vijana na maarifa yao yataendelea kutumika kwenye ushauri katika kusonga mbele.

Kuhusu utawala wa Rais Magufuli, amesema nchi ilikuwa inasubiri kiongozi na sio Rais. Tibaijuka amesema Rais inabidi pia awe kiongozi kwa sababu inawezekana kuwa Rais kwa nafasi lakini anaongoza?

Amedai kinachoonekana sasa Tanzania ni uongozi na umefika wakati wa kujua tofauti, amesema ujasiri unatokana na ukweli kwani mtu hawezi akawa muongo na jasiri kwani anaweza kuja mtu akamuumbua hivyo akiongea anabakiza maneno kwa kuhofiwa kuumbuliwa.

 
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
17,654
Likes
51,721
Points
280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
17,654 51,721 280
Haya. Tusubiri yatakayojiri
 
Nelson Masaduki

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
263
Likes
218
Points
60
Nelson Masaduki

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
263 218 60
nzuri hii maana amekaa sana katika uongozi. ale pesa alizochuma kabla hazijachukuliwa
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
22,859
Likes
26,887
Points
280
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
22,859 26,887 280
aiseee!!!!!
 
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
10,725
Likes
8,285
Points
280
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
10,725 8,285 280
Akalee wajukuu sasa,maana ndoto za uwaziri ndo zilishapepea.
 
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
9,039
Likes
14,166
Points
280
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
9,039 14,166 280
Sasa hapo ameacha au hatagombea tena 2020
 
M

Mwakamele 16

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
1,510
Likes
1,043
Points
280
M

Mwakamele 16

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
1,510 1,043 280
Nadhani zile chenji za kununulia mboga alizopewa na Kaka yake Rugemalila bado zipo kwa hiyo hana hasara
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
13,514
Likes
11,358
Points
280
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
13,514 11,358 280
Mbunge wa Muleba Kusini, Prof. Anna Tibaijuka akihojiwa wakati wa ziara ya Rais Magufuli kiwanda cha sukari Kagera, amesema hii itakuwa awamu yake ya mwisho kugombea ubunge na anang'atuka Kama msemo wa Mwalimu Nyerere.

Amesema ataendelea kuwepo kwenye jamii lakini ni wakati wa kuwaachia vijana.
Umenikumbusha Msekwa na Makinda, nashauri tuweke akiba ya maneno. 2020 hachelewi kurudi huyu na kusema wazee wamemuomba agombee kupitia Chadema!!
 
Amadoli

Amadoli

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Messages
2,457
Likes
1,936
Points
280
Amadoli

Amadoli

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2013
2,457 1,936 280
Hivi ile pesa ya mboga imeisha kweli?
 
A

Ally maganga

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
1,293
Likes
732
Points
280
Age
24
A

Ally maganga

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
1,293 732 280
Mafisadi yanakimbia
 

Forum statistics

Threads 1,235,940
Members 474,901
Posts 29,241,061