Mama Anna Malecela Nae Tumchunguze!

watanzania sasa wamekuwa na matumaini sana na wabunge wao kwa ujasiri waliounesha bungeni kwa kuweka maslahi ya taifa mbele bila ya kujari itikadi ya vyama,lakini ni jambo la kusikitisha kama baadhi ya wabunge watakuwa wanafanya hivyo kwa sababu ya jazba au chuki binafsi.nasema hivi kwa sababu kuna ushahidi tosha kuwa mama malecela(anna kilango)alikuwa na ugomvi mkubwa na mama anna mkapa kiasi kwamba mama anna mkapa aliwahi kumlipoti kwa viongozi wa juu wa chama,na kisa cha ugomvi huo ni juu ya mama anna malecela alikuwa anamtambia mama mkapa kuwa zamu yake(mama malecela)first lady imefika na hivyo mama mkapa aaanze kufungafunga virago na kuondoa ofisi yake kabisaa kwenye maeneo ya ikulu.kwani mama malecela alikuwa anajua kuwa mumewe atakuwa mgombea wa urais kwa ticket ya CCM na hivyo kuwa RAIS.hivyo nasi tuwe makini ktk kuwashabikia hawa wabunge kwani wengi kwa sasa wanajifanya wanayaweka maslahi ya nchi mbele kwa sababu ya hasira zao,ina maana kipindi chote walichokaa kwenye bunge walikuwa wamefungwa midomo?tuendelee kuwamulika ili tuone kama wataendelea kukemea?au ndio wanajitengenezea mazingira ya kula vizuri?

Maoni ya huyu bwana yanafanana kwa karibu sana na yale ya Mitomingi katika thread mojawapo hapa JF. Huenda hawa wakawa ni watu wa Lowassa wanaotaka kumrudisha katika madaraka kwa kupitia vyombo vya habari, ila tutakula nao sahani moja.
Kwanza kabla hatujaendelea, thibitisha madai yako kwamba Mama Malecela alikuwa anautaka u "First Lady"
Ila kwa kuwa mada iko kwenye jokes, huenda tusikuhukumu sana
 
idmi Huyu Ni Mtu Mmoja.,,ametumwa Kushindana Na Jf
sasa Kwa Nguvu Za Mwenyezi Mungu Nilizopewa Nakuamuru Pepo Mchafu Uliemwingia Mtimti Toka Kwa Jina La Yesu Akapate Kuona Mbali,,jamani Sie Yeye Huyu Mnashindana Na Nguvu Za Giza,,
tuzidi Kupiga Maombi Wale Wachungaji Member Wa Jf Shusheni Maombi
mitomingi Iwe Michache ,,mtimti Uwe Majimaji....
kwa Ushauri Tu Kua Makini Na Thread Zako Zinaweza Kukukosesha Baraka Na Amani,,katika Maisha Yako,,ona Kila Mmoja Pembezoni Mwa Dunia Yuko Against Na Mada Yako.......jitahidi Mistari Mwana
wenu
dunia Ya Leo
 
watanzania sasa wamekuwa na matumaini sana na wabunge wao kwa ujasiri waliounesha bungeni kwa kuweka maslahi ya taifa mbele bila ya kujari itikadi ya vyama,lakini ni jambo la kusikitisha kama baadhi ya wabunge watakuwa wanafanya hivyo kwa sababu ya jazba au chuki binafsi.nasema hivi kwa sababu kuna ushahidi tosha kuwa mama malecela(anna kilango)alikuwa na ugomvi mkubwa na mama anna mkapa kiasi kwamba mama anna mkapa aliwahi kumlipoti kwa viongozi wa juu wa chama,na kisa cha ugomvi huo ni juu ya mama anna malecela alikuwa anamtambia mama mkapa kuwa zamu yake(mama malecela)first lady imefika na hivyo mama mkapa aaanze kufungafunga virago na kuondoa ofisi yake kabisaa kwenye maeneo ya ikulu.kwani mama malecela alikuwa anajua kuwa mumewe atakuwa mgombea wa urais kwa ticket ya CCM na hivyo kuwa RAIS.hivyo nasi tuwe makini ktk kuwashabikia hawa wabunge kwani wengi kwa sasa wanajifanya wanayaweka maslahi ya nchi mbele kwa sababu ya hasira zao,ina maana kipindi chote walichokaa kwenye bunge walikuwa wamefungwa midomo?tuendelee kuwamulika ili tuone kama wataendelea kukemea?au ndio wanajitengenezea mazingira ya kula vizuri?

Sielewi we kijana unataka kumaanisha nini hapa?? Kwanza huwa hufuatilii kwa ukaribu mijadala bungeni na taarifa kny media mbalimbali!! Kwa kukusaidia tu, kama ungetazama madahalo ulirushwa na TVT ukiongozwa na Tido Mhando mara baada ya akina El kujiuzulu....Mama Kilango alisema hivi; '' baada ya kuchaguliwa mwaka 2005 wabunge wa CCM walikuwa wanaambiwa kny vikao vyao kuwa mambo mazito kama ya Richmond wasiyaulize wakiwa bungeni bali kny vikao vyao vya CCM'' na akaendelea kusema, wao walikuwa hawajui kumbe wenzao (vigogo) walikuwa na maslahi yao binafsi, na kwamba sahivi wameamua ukondoo basi!!

Sasa nakushangaa ndugu yangu unaulizia walikuwa wapi mwanzoni sijui ulikuwa wapi wakati wanajibu swali hilo?

Vile vile unaletaje hadithi za A.Mkapa vs A.Malecela hapa, kuna uhusiano gani hapa kama si umbeya tu au udaku?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom