HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,364
- 94,543
Mbona hii ilikanushwa?Mnamlau Makinda BURE tu.
Chanzo cha tatizo ni Kibwengo Jiwe.
Magufuli kakata ruzuku yote kwenda NHIF, hawapewi hata mia na kulingana na gharama za matumizi mwaka jana NHIF wamepata HASARA.
Ili kuhakikisha mfuko HAUFI ndio hao NHIF wameamua kuleta package mpya ambazo zinaacha maumivu kwa mchangiaji.
Hata kima cha chini cha uchangiaji wamepandisha kutoka Tsh 18,000 mpaka Tsh 40,000
Nawaambieni Endeleeni Kumchekea Huyo Shetani, Na Bado.
Sent using Jamii Forums mobile app