Mama Ana makinda afinya hoja binafsi bungeni

cray

Senior Member
Nov 2, 2010
171
10
Wana JF ninaangalia taarifa ya habari ya ITV, na ana makinda anadai katika bunge analoliongoza atajali sana mambo ya wengi na si jambo la mtu mmoja, nahisi anaanza kupeleka message kwa mpiganaji mnyika kuhusu hoja yake binafsi ya katiba mpya. Maana ameongea kwa ujasiri wa aina yake.
 
Wewe unadhani hoja ya Katiba mpya ni ya mtu mmoja? au ya watanzania wote
 
Wewe ni punguani kabisa unadhani hoja binafsi maana yake ni ya mtu binafsi na familia yake mko wengi msiojua kanuni za bunge.
 
... huyo Mama na ccm yake ... ni kuwasoma vizuri tu!! ..Hawana lolote...! Siwazuri kiasi hicho!!!

..hawezi kuzui mambo ya msingi yasitokee ndani ya nchi hii!!
 
Wewe unadhani hoja ya Katiba mpya ni ya mtu mmoja? au ya watanzania wote

Hakukosea maana mtazamo wa Mama Anne Makinda hoja binafsi ataitafsiri kama ni hoja ya kujadili kitu cha mtu mmoja
 
Back
Top Bottom