Mama aliyejifungua watoto 18 uzao mmoja

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1564798528007.jpeg
 
Dah mwanaume aliyempa mimba lazima alikuwa hajawahi kufanya mapenzi au kupiga punyeto.

Mama kwa taarifa ni kwamba mwanaume anamwaga mbegu zaidi ya million 20 kwa bao moja

Yaani nikikumwagia ukizisikia zinaingia elewa hapa kuna mbegu 20 millions au zaid

Sasa suala la watoto wengi ni wewe mama kuwa na multiple ovaries ambazo zipo tayari kurutubishwa

Na ndo maana hata mapacha chanzo ni mama na sio baba

Sijui umeelewa?
 
Hakika Dada na kama huku kwetu Tz wanasema watoto kuanzia watatu sijui wanne inatakiwa Serikali isaidie katika malezi.
Kuna familia nilikutana nayo, wana watoto 16. Si mapacha lakini mama anazaa kila baada ya mwaka mmoja.

Walikutana shuleni, walipata mtoto wa kwanza baada ya kumaliza form IV. Mwanaume alijifunza u fundi serimala wakisaidawa na wazazi.

Wameamua kutokutumia uzazi wa mpango, litre 5 za maziwa kila siku kwa watoto, viatu wanalipia kwa wiki dukani. Hawamalizi deni.

Nyama ni luxury, sikukuu tu, choo imebidi i wachimbe na cha nje, cha ndani hakikutosha.
 
Back
Top Bottom