Mama Alalamika Mtoto Kanyofolewa Mkono Wasweta ... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Alalamika Mtoto Kanyofolewa Mkono Wasweta ...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PlanckScale, Sep 16, 2010.

 1. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  A mother in Miami is suing the hospital after her newborn son was circumcised without his family's consent. It is interesting to see how different cultures view this practice/ritual. There is even an anti-circumcision groups that is planning a demonstration in her support.

  ``It’s a big deal,’’ Delgado said Wednesday, in her attorney’s office. ``In the future, he’s going to ask why his dad is one way and he’s different.’‘


  Accidental circumcision leads to lawsuit, protest - Miami-Dade Breaking News - MiamiHerald.com
   
 2. k

  kisoti Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  That's what makes the world; people with different cultures. However, for the health reasons this practice has to be reinforced and scaled up worldwide.
   
 3. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nafikiri kisoti kabla hawajafanya wangeomba ridhaa kutoka kwa mama pia , inaonekana kama baba aliamua bila ya kumshirikisha ma-msapu, ilitokea kwa watoto wa brother wangu mke wake aliwapeleka vijana wawili akawafyeka wote bila ridhaa ya baba yao, aliporudi baba yao akakuta vijana wote wamevaa kanga huku wana vidonda katika sehemu zao nyeti, duh brother wangu chozi lilimtoka ka mtoto kwa kuona vijana wamefyekwa bila ya ridhaa yake.
   
 4. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nadhani hiyo ndio issue...Familia haikujumuishwa kwenye shughuli hiyo. Pia baba na mama wa mtoto hawakutaka hilo lifanywe. Hospitali wange washauri kwahali zote, lakini the ultimate decision should have rested on the parents...

  Lakini nakubaliana na Kisoti kwamba, hii issue imekuwa a medical must-do. Mambo ya culture itabidi tuyaweke pembeni kidogo maana procedure hii nikinga mojawapo ya ukimwi. Pakikatwa inasaidia kufanya ngozi ya "abdala kichwa wazi" kuwa sugu na kuto chaniki kiraisi, therefore virusi exchange inakuwa minimum.
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Thread inahusu lawsuit.

  Jee wakuu Kisoti na PlanckScale mngependa kupendekeza kwamba sheria ya Tanzania irekebishwe ili iwe lazima kwa wanaume kutahiriwa?
   
 6. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
   
 7. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
   
 8. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  I don't think sheria ni muhimu kwa hili swala, but they should make it as a public health campaign ili kuelimisha jamii. Nikama utumiaji wa condom...you don't have to use it, but you are highly encouraged to put it on.

  Btw, a new study just came out showing AIDS is down 25% in Africa...
   
 9. S

  Seekype Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  among the things that pleases me in America is the way the you can sue anyone for anything its sooo amazing...
   
 10. k

  kisoti Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana nawe kabisa Qulfayaqul kuwa ridhaa kutoka kwa wazazi/walezi ni muhimu kabla ya kufanya operesheni yoyote kwa mtoto iwe ndogo au kubwa. Na hapa tatizo ni kwamba mzazi/wazazi wote hawakushirikishwa na ndio sababu mama akapata mwanya wa kufungua kesi ya madai. In America any medical malpractice ni deal, watu wanatajirika kwa njia nyingi ndugu yangu. Inawezekana kabisa huyo mama hana tatizo lolote juu ya mtoto wake kuwa circumcised ila kwa sababu anaweza kupata pesa kwa gharama ya one's malpractise, akafungua kesi.
   
 11. k

  kisoti Member

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo mama hata kama mtoto wake angefanyiwa operesheni ya kuondoa mtoto wa jicho(cataract) bila ya ridhaa yake, bado angefungua mashitaka sio kwa sababu hataki mtoto wake aone vizuri lakini kwa sababu operesheni imefanyika bila ya ridhaa yake kama mzazi na hapo ndipo suala la sheria linaingia.
  Kutahiriwa na kuto kutahiriwa ni suala la mtu binafsi, kinachotakiwa kama alivyosema PlankScale ni ku waelimisha watu umuhimu wa kutahiri kama njia mojawapo ya kujikinga na VVU nao ndio watakaofanya maamuzi on a voluntary basis.Hizi link hapa chini juu ya Male Circumcision and HIV Prevention zinaweza kuwa na msaada

  http://www.who.int/hiv/pub/malecircumcision/meetingreport_14sep06.pdf
  WHO | Male circumcision for HIV prevention publications
   
Loading...