Mama Akamatwa na Shahada Feki Sinza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Akamatwa na Shahada Feki Sinza

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by LUSAJO L.M., Oct 31, 2010.

 1. LUSAJO L.M.

  LUSAJO L.M. JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 223
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Habari zilizotufikia zinasema kwamba kuna mama mmoja amekamatwa na shahada feki nyingi na kwa sasa anashikiliwa kituo cha polisi Urafiki. Tutaendelea kuwapa taarifa yanayotokea.
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni muhimu zikapigwa picha ili tuzitundike you tube
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Atakuwa kada wa CCM uyo bse kuiba ni jadi yao kuanzia EPA,RICHMOND,MEREMETA
   
 4. W

  We can JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, this mwaka, balaa tupu!
  Huko mwanza wananchi walalamikia vituo hewa vingi. Source Channel 10.
   
 5. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Siyo hivyo tu wamenunua kadi nyingi sana, na zingine wemechukua namba halafu wakabadilishe namba watu wasipige kura. hao ndo wezi, halafu hawajiamimi kabisa.
   
 6. c

  chanai JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu wataumbuka wengi sana
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  yES WAKAMATWE TUUU HATUTAKI WATU WANAOINGIA MADARAKANI KIHUNIHUNI TUU!
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Huo ni uhaini dhidi ya wapiga kura
   
 9. s

  shade Senior Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  sinza ukicheza hata walemavu toka sehemu zingine huletwa kwa ajili ya uchakachuaji:sad:
   
 10. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  corrrupted nec, everywhere in the country same issues appear to be well organized.
   
 11. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hizo shahada zimeshatumika au bado? Kama zimetumika, hakuna faida ya kumkamata!
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  Alamsiki,,,,,,,,,,,CCM .............your time is up...............says your employer........a Tanzanian voter...............
   
Loading...