Mama Agness nimempa talaka juzi tu leo kaja kuishi jirani yangu na mwanaume mwingine!

Mkuu wanaokwambia uvute pisi kali na ww wanakudanganya sana.

Utakua kama unashindana na hayo ni mambo ya kike kushindana ishu ka izo. Na atafurahi sana kuona kumbe kweli umeumia.

We mpuuzie kabisa mkuu tena kama ni jirani yako uwe unaenda hata kuomba chumvi siku moja moja, yaani onesha kama hilo swala wewe halijakuuma hata kidogo.

Matokeo yake ataanza kukuchukia bila sababu kua kwanini anakuumiza na huumiii
 
Usikurupuke, tulia mtangulize mungu,Jenga uchumi wako vizuri,wanawake wapo kikubwa usikae iddle.. kua makini kutunza damu.
 
Kuanza kumtumia hio text ni kuonesha hinsi gani upo insecure na unaumia.

Mwanaume wa kweli unapiga kimya tu, hata ukimuona kama vile haujamuona! unasaka pesa maisha yanaenda
Umesoma uzi wake ulopita??? Mind games unazijibu na mind games, otherwise ataona limempata, insue ni kumfanya achukie na uamuz wake, wanawake hawana soko, sie wanaume ndo tunasoko
 
Anakuonesha jeuri, sasa akina agnes wako wapi.

Hama tu kimya kimya usije ingiwa na shetani ukafanya mambo ya aibu
 
Ili wewe umuumize zaidi, basi usioneshe kuimizwa na alichokifanya yeye, usikimbilie kuchukua hizo pisi kali kama unavyoshauriwa na wajumbe humu, mizunguko na taratibu za maisha yako ziendelee kama kawaida, kitu cha kubadilisha ongeza bidii ili usogee mbele zaidi kimaendeleo......Kama haukuwa na ka gari jitahidi ununue hata ka kukutoa sehemu moja kwenda nyingine, mwisho ataanza kujiona kuwa yeye ndiye alikuwa kikwazo cha maendeleo yako.
 
Nahisi hi itakua chai lakini chai yenyewe ina tangawizi nyingi kama pilipili tu. Husemi sababu ya wewe kuachana na mama Agnes yaani tu mmeachana, hivyo tu.
 
Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.

Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.

========

Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Mungu amekuepusha na makubwa. Inaonekana hakuwa mwaminifu kwako. Amekuja kukuumiza. Achana na mambo yake na songa mbele na maisha.
 
Tukiwaambia msiowe mnatuona wajinga, enzi zile mnapendana mnaish kinafik mkatucheka sana sie ambao hatujaoa na mkajiona nyie wajanja..dunia haina uruma, we jamaa hukuwa tyr kwa ndoa na kama ulikuwa tyr why umpe taraka mtu unaempenda? au ulkuwa unafanya majarbio ya taraka? acha upate matunda ya majaribio yako...next time utabadrika, vumilia haya maumivu niyamuda sana labda uhame hapo,,just imagine upo zako kwa bed usiku alafu upate kafeeling kuwa mtaraka wako anatafunwa mtaan kwako hiv usingiz utapata kweli?? noma sanaa....hii ni nomaa saaanaa.utapata tabu sana hapo usipohama, na maumiv yake is just the beginning
 
Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.

Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.

========

Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Aisee we jamaa pole niliona uzi wako tena nikakupongeza nikakuambia mbona mmekaa sana miaka 13 si haba we hama hapo maisha yaendelee
 
Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.

Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.

========

Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Kafanya makusudi ili akuumize
Au huyo bwana alikua anaishi jirani na wewe
 
Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.

Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.

========

Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Jifunze kukubali na mwache aende, yanini utafute matatizo yasiyo ya lazima? Mpotezee acha ajifanye anakukomoa, badae atakuja kujua kuwa hajui.

Ikibidi toka asubuhi sana wahi kazini, toka kazini ukiwa umechelewa ( usiku) Fanya hivo kwa 1month uone itakuwaje!

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Sasa si ulishampa talaka, Kwanini roho ikuume??. Huo ni wivu mbaya usiofaa,mtu ukishamuacha si basi unamfuatilia wa nini sasa?
 
Back
Top Bottom