Mama Agness nimempa talaka juzi tu leo kaja kuishi jirani yangu na mwanaume mwingine!

Mkuu acha unaa... Mke umemuacha sasa hasira nini? Utakuja ufie Jela...

Hapo ukimgusa au kumuuliza chochote bwana ake anaweza kukupaka mafuta coz huyo sio tena mkeo...

Chunga sana,,, Jutia kimya kimya huku ukiendelea na maisha yako
Huo ni ufala ambao sisi wanaume hatutakiwi kuuendekeza kisa chupi.

Unajua kabisa pale mwanaume mwenzangu x wa mwanamke wangu anakaa na wana watoto ila unaamua kukaa jirani yake ili watoto wake nao wapate tabu au? UPUMBAFU NA ULOFA.
 
Ni yule wa 7800?
Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.

Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.


========

Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
 
Tafuta kabinti kadogo dogo oa oa mkuu Hiv kuna watu wanateseka kwa sababu ya wanawake mwanamke si mtu wa kumwamin usihame ilo eneo kaza kichwa
 
Nami pia nishaurini kisa changu.
Mke wangu mama p yeye kila siku anazua mpya.
Nahisi amenichoka na ananitafutia sababu tuachane naskia kapata danga jipya ni yule mpemba muuza mafuta.

Cha ajabu juzi tulikuwa nae baa nikakohoa, akaanza kuropoka eti "mwanaume mzima huna aibu unajamba Mbele za watu wote hawa"?

Sasa huu si uonevu wa kijinsia,? Au tuseme uonevu wa "kishati", au "kitambaa"?
 
Yan ukihama tu umekubali udhaifu dawa n kuwa kimya Hakuna kuhama kaza roho wakiume wew
 
Ndiyo safi ili akikata mauno ucku iwe unasikilizia.... hii ndiyo dawa ya wanaume watoa taraka.
 
Back
Top Bottom